Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
aaah... Mi bado natafakari.... Ila katoto kazuri... Wacha kesho nikafanyie mchakato wa nusu boom...
Hapo mnajipa mitihani, kwani hakana baba? Je kaka?
Teh teh teh.... Mi nakapata fresh... Najua lyf yake thats y nampa nusu boom... Ila mtaka cha uvunguni_____..
Asa we Donn mbona ka unataka ku2kimbia C.C.B nan kakushawishi huyo!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sharti anyanyue kitanda.. Poa, we toa ma boom tu man! Sie, wengine wapenzi wetu ni pesa tu
hongera yako... Ila hata huyo pesa namimi ni mpnz wangu wa longi
Hapo sawa, bt usiseme 4ever ikawa kweli utajuta hahahaaaa Donn
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ivi Leah Brown wewe ni Me?
Nitake radhi unataka unibadilishe nn, mm ni Ke
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nakutaka ladhi
Asanteee!!!!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hapo sawa, bt usiseme 4ever ikawa kweli utajuta hahahaaaa Donn
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Wee... Warembo wote nyie mi nife singo? Haiwezekani aise
Umetaja Singo nimemkumbuka mwalimu wangu huyu ni mkuda, anakuludisha mwa hata kwa kupungukiwa nusu maksi. Mie, nitakufa triple sitaki single wala double
teh teh teh.... Triple.. Wewe tu
C.C.B forever utamu wake ni huu naamka bila kuzungumza na mtu, kitandani nitatoka mda ninao taka, hamna kero za kusemeshana, sifikilii habari za chakula
Hahahaaaa gud mrning...!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums