CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

Umri wangu unazidi kwenda, pia hata wadogo zangu wananishangaa brother wao. Tufanye jambo moja nalo kuweka nadhiri mbele za Mungu, atakae luka luka tu na apate kansa ya mifupa na damu kwa mpigo

Wajitia pini mchana kweupee
 
Kuepusha stres tu, hata nikiona ana cheat najua kwasababu sina kitu, kama ivi mapenzi yapo moto moto anajua account imejaa sifuri sifu nyini nyuma ya namba flani
uhwii... Umejitia kitanzi mchana kweupeeeee
 
mie, nipo hapa mnalani napata ragae ya kawaida tu ili kupunguza stres nikishakua Low nitakutafuta. Usiku mwema watu8 japo dah! Sikukuona kwenye pariti
kitu cha cocktail utapata kaka...niambie tu wapi unataka nikuangushie!!!
 
Last edited by a moderator:
kama ulimuona mtanashati mmoja aliyefungua CHAMPAIGNE...basi huyo ndio watu8

mie, nipo hapa mnalani napata ragae ya kawaida tu ili kupunguza stres nikishakua Low nitakutafuta. Usiku mwema watu8 japo dah! Sikukuona kwenye pariti
 

niandike aisee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…