CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Hiki ni chama kipya kabisa kinachopokea mabachela wote JF... Tukiwa na mitazamo tofauti na kile cha Baba V ... Huku ni burudani... Yaani stress free.... Watu kama charminglady , stevoh na C6 munakaribishwa. Na wale mabachela wa longtym kama noahism na figganigga munakaribishwa kujinyakulia kujitwaalia nafasi za uongozi wa chama cha raha a.k.a CHIT CHAT BACHELORS... Uandikishaji umeanza... Wahi sasa
 
Last edited by a moderator:
Naomba nafasi ya ukatibu mkuu wa kudumu katika C.C.B

Umepata aise.... Kwanzia sasa unatangazwa rasmi kuwa katibu mkuu wa C.C.B noahism ®Kumbukumbu namba C.C.B/008
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom