Chipumbu V/S Libolo

Hii ni baada ya Libolo kuitupia Simba 4 sasa inaenda kukutana na Chipumbu nani atakua mkali zaidi ya mwenzake.

Copy: Mashabiki wote wa Simba walio henyeshwa na Liboloooo...!!

hatujahenyeshwa tuliwaachia wakapambane kati ya yai na kuku nani zaidi
 
wataungana km ilivyoumbwa, chipumbu ataning'inia chini ya libolo kazi kwisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…