Unajiimarisha halafu ikifika wakati wa uchaguzi unategemea mbeleko ya vyombo vya Dola, na tume isiyo huru ya uchaguzi?! Uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.we salia hivyo hivyo na ramli zako na wenzako wachache, wazee wa kususa na mihemko, akati wengine wanaendelea kujenga msingi, kujizatiti na kujiimarisha wanapostahili....
baki namna hiyo ukilalamika acha wengineo, wajinoe vyema na wanao ili uendelee kulalamika na kuchafukwa vizuri sana wewe mwenyewe, na jamii zako zote zijazo muuendelee kuwe kwenye himaya ya wanaojiandaa na kujizatiti daima...Unajiimarisha halafu ikifika wakati wa uchaguzi unategemea mbeleko ya vyombo vya Dola, na tume isiyo huru ya uchaguzi?! Uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.
Watatoka tu, Amin usiamini, uombe tu watoke kwa amani, maana kinyume chake mtaokota maiti zao hadharani na wengine kuishia jela.baki namna hiyo ukilalamika acha wengineo, wajinoe vyema na wanao ili uendelee kulalamika na kuchafukwa vizuri sana wewe mwenyewe, na jamii zako zote zijazo muuendelee kuwe kwenye himaya ya wanaojiandaa na kujizatiti daima...
Unazungumzia hawa hawa wezi walioashindwa almost kila kitu kuanzia maji, umeme na elimu?waliopewa ridhaa ya kuongoza nchi na wazazi wa chipukizi hao hodari, makini na madhubuti waliotayari na kujitolea kulitumikia Taifa kwa dhati na kwa uaminifu mkubwa kwa manufaa ya waTz wote...
njaa njaa ni kitu mbaya sana aise,Watatoka tu, Amin usiamini, uombe tu watoke kwa amani, maana kinyume chake mtaokota maiti zao hadharani na wengine kuishia jela.
umepanic 😜Unazungumzia hawa hawa wezi walioashindwa almost kila kitu kuanzia maji, umeme na elimu?
Wanawafundishwa nini hao watoto ilhali wao ni incompetent kwa kila kitu
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ningekuwa na njaa ningekuwa najipendekeza kama ww Ili nitoke kimaisha.njaa njaa ni kitu mbaya sana aise,
inaasha, mihemko ,hasira na fikra za uharibifu na mauti tu🤣
Japo huna uwezo wowote
hebu kunywa walau tama la maji kidogo urilax
tones na imotions za replies zako zinaeleza kinagaubaga ulivyo na njaa, hasira na gubu dhidi ya wanaosonga mbele kwa ubunifu , bidii, kuungana na kuimarika kwaoNingekuwa na njaa ningekuwa najipendekeza kama ww Ili nitoke kimaisha.
Kwa taarifa yako Niko hapa mjini muda mrefu, Nina mijengo kadhaa, ya kurithi na yangu binafsi. Nimeshotaka kwenye umasikini toka nikiwa mtoto. Na ndio maana sifagilii majizi Ili wanipe maisha.tones na imotions za replies zako zinaeleza kinagaubaga ulivyo na njaa, hasira na gubu dhidi ya wanaosonga mbele kwa ubunifu , bidii, kuungana na kuimarika kwao
sasa mbona una gubu na kubabaika na maisha, kazi, mipango na bidii za wengineKwa taarifa yako Niko hapa mjini muda mrefu, Nina mijengo kadhaa, ya kurithi na yangu binafsi. Nimeshotaka kwenye umasikini toka nikiwa mtoto. Na ndio maana sifagilii majizi Ili wanipe maisha.
Mimi na majizi ni tofauti kabisa. Na Sina nafasi nitatoa kwa majizi kujidai. Kama ndio wanaokuweka mjini waambie waibe vizuri ili kibao kikigeuka msije mkaaibika pamoja.sasa mbona una gubu na kubabaika na maisha, kazi, mipango na bidii za wengine
utachakaza nafsi yako bure tu kwa hastles za wanaofanya bidii na mambo yao.....Mimi na majizi ni tofauti kabisa. Na Sina nafasi nitatoa kwa majizi kujidai. Kama ndio wanaokuweka mjini waambie waibe vizuri ili kibao kikigeuka msije mkaaibika pamoja.
Kama ambavyo ninaowachukia hawawezi kunifanya chochote ama kunizua kuendelea, maana tayari Niko hatua nyingi mbele Yao, tena kwa mapato halali.utachakaza nafsi yako bure tu kwa hastles za wanaofanya bidii na mambo yao.....
uta ng'ang'ana sijui fulani hivi fulani vile but huwezi fanya kitu na huwezi enda popote, na huwezi zuia mwingine asisonge mbele kwa chuki zako....