Sasa kama hilo mnalijua mbona kuna sheria inayopinga hilo?sio sheria ipi tu...
bali pia ni haki ya watoto kupata malezi, mafunzo yahusuyo nchi, maadili na uzalendo wa nchi yao, sio tu katika chama bali pia katika taasisi za kidini na mashirika yanayosimamia haki za watoto ya ndani na nje ya nchi....
Na matokeo ya malezi hayo ndio huzalisha wanachama na viongozi mahiri, shupavu, wenye weledi, wabunifu na makini siku za usoni..
sio kulalamika tu
Mahaba yanafunga akili: Ni wale wale wenye Mahaba na MAGAIDI YA KIISLAMU YA HAMAS, yamefika pahala kusema mtanzania alikuwa mwanajeshi wa Israeli, haya jui madhara yake ni kwamba Magaidi ya Hamasi yanaweza hata kushambulia kwenye nchi tajwa;Umeelewa lkn point kuu ya mleta mada?, mleta mada amefafanua hadi vifungu vya sheria ya vyama vya siasa inayokataza watoto kujihusisha na shughuli za vyama vya siasa, iweje CCM inahusisha watoto kwenye kujijenga?
Kwhiyo waliotunga sheria ni wanyarwanda , hiyo tuzikiuke kwakuwa ni warwanda walitunga sasa?sio sheria ipi tu...
bali pia ni haki ya watoto kupata malezi, mafunzo yahusuyo nchi, maadili na uzalendo wa nchi yao, sio tu katika chama bali pia katika taasisi za kidini na mashirika yanayosimamia haki za watoto ya ndani na nje ya nchi....
Na matokeo ya malezi hayo ndio huzalisha wanachama na viongozi mahiri, shupavu, wenye weledi, wabunifu na makini siku za usoni..
sio kulalamika tu
sio sheria ipi tu...

Nilicomment kukemea huu upumbavu wa ccm ni hatari ila kwa sasa sisiemu inaongozwa na watu wapumbavu wasio na akili ya kutambua hata mambo madogo wala makubwa yasiyo faa siasa na watoto ni kinyume hata na hakiKwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.
Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Jaji Mfawidhi wanaojua Sheria na wanajua iyo chipukizi hata hawatathubutu kuleta kimbelembele eti sheria,kanuni au taratibu fulani zimekiukwa.....Kwhiyo waliotunga sheria ni wanyarwanda , hiyo tuzikiuke kwakuwa ni warwanda walitunga sasa?
Nani aende Mahakamani? Mahakama zipo mikononi mwa watu, hujui kwamba huwa kikombe kikijaa huwa kinamwagika?Jaji Mfawidhi wanaojua Sheria na wanajua iyo chipukizi hata hawatathubutu kuleta kimbelembele eti sheria,kanuni au taratibu fulani zimekiukwa.....
wasio jua chochote kuhusu chipukizi ndio viherehere sasa macho mbele mbele kubwekabweka.....
Nenda mahakamani sasa si unajua sheria
sasa unalalama na kulialia nini 🤣Nani aende Mahakamani? Mahakama zipo mikononi mwa watu, hujui kwamba huwa kikombe kikijaa huwa kinamwagika?
Hujui iliyotokea nchi nyingine huko Magharibi mwa Africa?
Unafikiri Watu wanabaki wapumbavu siku zote?
#Kwa mtini jifunze.
Ni sheria ipi inayoruhusu watoto wadogo kupelekwa Sunday School au MadrasaNi sheria ipi inaruhusu watoto wadogo kujihusisha na shughuli za chama cha siasa?
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.
Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Siasa mekatzwa under 18 .Ni sheria ipi inayoruhusu watoto wadogo kupelekwa Sunday School au Madrasa
Nimeumia sana binafsi, sasa nawambia ipo siku Mwanangu junior atakua Rais wa nchi kwa sasa dogo acha apige kitabu , stupid ccmKwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.
Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Tofauti ni nini??unapotosha kwa kufahamu au kutokufahamu.
Kwan hao watoto ni wanachama au chipukizi wa chama?
Watoto watabaki watoto tu.
Mashetani wakutupwa hawaCCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
Hawezi elewa huyo kilaza tu kama wana ccm wenzio, siasa kwanza uwe na shule ,pili uchumi binafsi ,kabla ya Ruto ,au kagame ,mseven , Hechilema, Trump , Obama,Mwinyi , magufuli ,Nyerere, mkapa n.k wapi walipo anzia upuuzi wa namna hii, ccm chama za kipuuzi sanaUmeelewa lkn point kuu ya mleta mada?, mleta mada amefafanua hadi vifungu vya sheria ya vyama vya siasa inayokataza watoto kujihusisha na shughuli za vyama vya siasa, iweje CCM inahusisha watoto kwenye kujijenga?