Chips ni Mboga au Chakula? Soma hapa

ugali ni chakula cha kizembe na hakina nguvu. jiulize kwanini chips mayai hutoa kitambi na ugali hautoi.
 
ugali ni chakula cha kizembe na hakina nguvu. jiulize kwanini chips mayai hutoa kitambi na ugali hautoi.

Inaonyesha kuwa ww ni mpnz wa chips rojo... Unasema ugali upi hauna nguvu? Unaweza kufananisha dona na chips yai?darasa la 5 haikuwahi kusoma makundi ya vyakula vinavyotia nguvu mwili.... Kuna ugali wa dona, wali, viazi na mihogo,...halafu mayai kazi yake ni kujenga mwili na sio kuupa mwili nguvu. Kweli wanaume wa dar mna mambo
 
chips ni nini? mayai ni nini? ugali ni nini? na balanced diet nini? Kajifunze kwanza ni somo refu kidogo
 
Na mazoezi je ni chakula gani maana mie huwa yananipa mi powerrsss yaani peoples powerrr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…