Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Hapa Tz hatuna wasomi wenye moyo huo wao ni kujipendekeza tu kwa viongozi hata ikitokea hao viongozi wameharibu kama hawa tulionao serikalini ni aibu tupu
Prof Kabudi yeye anasaliti na kukubari kuwa mtumwa...watu waliosoma kwa pesa za mchicha leo wanatugeuka,ndo wasomi wetu hao
ni lini Malecela amelilia hiyo nishani? au unataka kuvutia wasomaji? si vizuri kupakaziana
hapo kwenye upper case, have definitions changed? What is definition of each word?????Usimshangae huyu na misimamo yake kwani ni mtu wa USALAMA WA TAIFA!!