Chini ya kikwete huwezi kupata CCM imara

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda.

Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini kikwete hana nguvu hiyo ni mstaafu lakini ana makundi. CCM ina bahati.mbaya sana Kuwa na mstaafu wa namna hiii asiye mzalendo.
 
Jamaa ni msela msela hivi
 
Back
Top Bottom