nenda uganda watakupoea kwa mikono miwiliTwo ways ahead of you
1. Siti paper ya six tafuta DD kwa kikao kimoja ila kumbuka ipi usiti lazima uwe na credit zaidi ya mbili kwenye tahasusi yako
Au rudia diploma
Siyo lazima usome kwenye mfumo wa elimu wa Tz ambao haueleweki mfumo unaoyumba kila siku.Habari zenu jamani sisi Wa diploma tulio kuwa chini ya Gpa3.5 je? Tunaweza ruhusiwaa kurudia tena? Kusoma diploma au utaratibu upoje.
itabidi ubadili upepo ila wapo na bodi wakijadili namna ya kuzirudisha gpa zenu 2.7 kwani kuna vyuo vitapata watu wachache sanaUsirudie Kusoma Diploma! Bali Tafuta Kazi Kupitia Hicho Cheti Cha Diploma Then Fanya Kazi Kwa Miaka 5 , Baada Ya Hapo Utaingia Chuoni Kupitia RPL (Recognition Of Prior Learning).
Note:
RPL ni Kufanya Mtihani Maalum Kwa Watu Wenye Uzoefu Makazini Zaidi Ya Miaka 5 Ambao Hawana Qualifications Za Kuingia Chuo! Na Mtihani Huu Unaifanyia Hile Fani Unayoifanyia Kazi, Ukifaulu Kwenye Huo Mtihani Basi Unaingia Chuo
Tatizo litakuwepo tu akirudi hapa coz ili aitumie hiyo award ya Uganda huku itabidi TCU wamatch kama inameet vigezo vya huku.nenda uganda watakupoea kwa mikono miwili
ni kweli pasua kichwa sana wakasome wapate chet zen warud wapige postgraduateTatizo litakuwepo tu akirudi hapa coz ili aitumie hiyo award ya Uganda huku itabidi TCU wamatch kama inameet vigezo vya huku.
itabidi ubadili upepo ila wapo na bodi wakijadili namna ya kuzirudisha gpa zenu 2.7 kwani kuna vyuo vitapata watu wachache sana
Hatutaki vilaaza tenaHabari zenu jamani sisi Wa diploma tulio kuwa chini ya Gpa3.5 je? Tunaweza ruhusiwaa kurudia tena? Kusoma diploma au utaratibu upoje.
unataka ku risiti diploma auHabari zenu jamani sisi Wa diploma tulio kuwa chini ya Gpa3.5 je? Tunaweza ruhusiwaa kurudia tena? Kusoma diploma au utaratibu upoje.
ahaaa adi diploma kuna kurisiti kwel mkuu wa wizara waonee huruma vijana wanachanganyikiwa uku..........unataka ku risiti diploma au