Serikali imeona haiwezi kuwasomesha wote, hivyo imeweka cutting points za kutoka Diploma to Bachelor.Habari zenu jamani sisi Wa diploma tulio kuwa chini ya Gpa3.5 je? Tunaweza ruhusiwaa kurudia tena? Kusoma diploma au utaratibu upoje.
Jammaaa ni shida!!!!!!!!!!!!!!!ahaaa adi diploma kuna kurisiti kwel mkuu wa wizara waonee huruma vijana wanachanganyikiwa uku..........
Xo=so, Duuuuuhhaah hv 3.5kitu gn tulia mwaka kesho uone hz gpa kuna vyuo havichukui form six mfano MUST,DIT,NIT NA ATC HAPA PIA ST JOSEPJ XO HII YA 3.5 ITAKUA NGUMU CZ WANAFNZ WATAKUWA GAWANA VGEZO XO VYUO VTAKUA EMPTY INA MAANA VIFUNGWE KTU AMBACHO HAKIWEZEKANI
Unadanganya umma hio sheria ya wapi, uogopweeeTwo ways ahead of you
1. Siti paper ya six tafuta DD kwa kikao kimoja ila kumbuka ipi usiti lazima uwe na credit zaidi ya mbili kwenye tahasusi yako
Au rudia diploma
Ila kujipa moyo nako n kitu kizurWataachia tu subiri mwezi wa kumi ufike ili vilio vitoke mavyuoni kuwa hakuna wanafunzi uone kama kamba haikulegezwa
subili mwakaniVipi mbona tuliomaliza diploma mwaka huu ukiandika registration number wanakwambia not found in our database
subiri mwakani wenzako wana miaka 5 mtaani we hata mwaka hujamaliza unataka kuunga digriVipi mbona tuliomaliza diploma mwaka huu ukiandika registration number wanakwambia not found in our database
Majibu mengine unaweza ukalia aisee khaaa.su
subiri mwakani wenzako wana miaka 5 mtaani we hata mwaka hujamaliza unataka kuunga digri
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Majibu mengine unaweza ukalia aisee khaaa.
Nitafute hapa 0679224180, nikupe technique....Habari zenu jamani sisi Wa diploma tulio kuwa chini ya Gpa3.5 je? Tunaweza ruhusiwaa kurudia tena? Kusoma diploma au utaratibu upoje.
hizo technique si uweke hadharani kila mtu asome mbona wewe ni mbinafsiNitafute hapa 0679224180, nikupe technique....
kwani lazima tujue kuwa wewe ni mvuta bhange!?Ndio mna ruhusiwa kusoma magazeti
out of difficulties grow miraclesIla kujipa moyo nako n kitu kizur
haah hv 3.5kitu gn tulia mwaka kesho uone hz gpa kuna vyuo havichukui form six mfano MUST,DIT,NIT NA ATC HAPA PIA ST JOSEPJ XO HII YA 3.5 ITAKUA NGUMU CZ WANAFNZ WATAKUWA GAWANA VGEZO XO VYUO VTAKUA EMPTY INA MAANA VIFUNGWE KTU AMBACHO HAKIWEZEKANI