Chini pamekubali, juu pamekataa

Ila nimekumbuka kuna binti mmoja najuana nae anaishi mbali kidogo na home...ni black beauty mwenyewe sijui nani kamdanganya yule binti ajichubue

Kuna siku nimekutana nae kituoni kavaa kimini jamani miguu ni white ..nilishindwa vumilia nilicheka ile siku jamani..khaaa..nikawa nawaza uko chuoni kwao wanamuonaje khaa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wazazi tuzae
 
Hahaha acheni mambo yenu, hii fotoshopu kabisa
 
Hapo mwamba anaelekezwa
Niko hapa mbele nimekaa chini ya mti nimevaa gauni leupe lina linavidotidoti vyeusi
 



😁😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…