Manowari(WARSHIP) ni meri vita
Manowari zipo tangu 2000 BC
Nadhani ulihisi alimaanisha NYAMBIZI(SUBMARINE)
Hvyo PIRATES kumiliki 300+ Manowari ni jambo ambalo linawezekana kabisa
hasa kwa kipindi hicho wakitumia tekinorojia ya TANGA
kumbuka wao hawana LAND
like the CAPTAIN OF THE FLYING DUTCHMAN 10 years at the SEA 1 day at the Ashore LMAO[emoji1787]