Chinese,governent scholarship

Chinese,governent scholarship

Siah

Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
22
Reaction score
3
naomba msaada wa procedure kwa walio apply scholarship za china
 
procedure, 1. uwa zinatangazwa na wizara ya sayansi teknolojia na elimu ya juu ( may be now is wizara ya elimu) na mida ya kutangaza uwa ni mwezi wa pili au wa tatu kila mwaka. 2. Ukiona tangazo apply 3. Hakikisha afya yako ni nzuri kwa maana huna HIV, Magonjwa mengine ya ngono kama kaswende, kisonono n.k 4. Hakikisha una pass mark nzuri inayoweza kushindana na wenzio walioomba kwani siku hizi waombaji ni wengi (atleast uwe na upper second class) 5. Majibu ya awali yatarudi mwezi wa tano au sita. 6. Baada ya kuthibitisha afya utapata majibu ya mwisho tayari kwa safari mwezi kati ya 6 na 7. 7, pata visa yako ubalozi wa china na uanze safari ya kwenda China - mwisho 欢迎 - 中国!
 
Wewe omurugi weso nouma sana sasa maneno yale ndo yana maana gani? Au mbwe.bwe hahahaaa
 
Back
Top Bottom