Chinekeee!!!

Msonobari huo. Haa haa haaa.
 


Maana ya kitchen party siku hizi imepotea, kilichoibuka ni kuonyeshana ufundi wa viuno na kujipatia vyombo!!
 
hawa no kutwa wako kwenye majukwaaa wanataka viti maalumu na kusema wakiwezeshwa wanaweza...hovyo kabisa
 
Hivi kumbe kitchen party ndo hivi,wangu haendi toka leo
 
Huu ni ushenzi na ukosefu wa maadili.
 
Halafu mnasema nchi hii imezidi wasagaji, mila au itikadi nyingine must die...
 
hawa ndo wanawake bwana..give them a chance you will regret..ukiwabania wanalalamika..yaani tabu tupu



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…