China's Huawei and ZTE pose national security threat, says US committee

kazidi

Member
Jul 7, 2008
61
22
American companies and its government should avoid doing business with China's two leading technology firms, Huawei and ZTE, because they pose a national security threat to the US, the House of Representatives' intelligence committee will warn in a report to be published on Monday.
The Republican-controlled panel also says US regulators should block mergers and acquisitions in the US by the two companies, which are among the world's leading suppliers of telecommunications gear and mobile phones.
The panel's report will cause transatlantic friction over the role of the Chinese companies. In the UK, Huawei is a major supplier to the telecoms provider BT, and has supplied infrastructure being used in the new 4G superfast mobile network built by Everything Everywhere – the merged Orange/T-Mobile. Huawei provides access to its source code for GCHQ specialists who have reportedly examined it for threats and passed it as safe for use.

Source: China's Huawei and ZTE pose national security threat, says US committee | Technology | guardian.co.uk

My take: Jamaa wanatetea sana makampuni yao at any cost either kwa security issue kama hii ya wachina au Samsung/Apple issue
 
lkn wao wakauze iPhone 5 na Motorola kwa kuwa wao hawawezi kufanya udanganyifu.

hehe dunia hii
 
Biashara huria hii,hakuna national security wala economic security,mwenye technology nzuri na rahisi kwa bei ata chanua!
 
lkn wao wakauze iPhone 5 na Motorola kwa kuwa wao hawawezi kufanya udanganyifu.

hehe dunia hii

ndio hapo chacha na wanadhani kila mtu ni mjinga wa kufikiri naona ndugu zangu wa US walishaelekea kibra wanasubiri kisu tu..
 
Baadhi ya wabunge wa Merikani wanataka kuwa wekea kauzibe Makampuni ya Wachina - hawataki ushindani. Visingizio kuhusu suala la usalama wa TAIFA lao havina mshiko, wanacho tafuta ni kujaribu ku-contain makampuni ya Wachina yasewekeze Merikani.

Wamerika wana uwezo wa kung'amua firmware na software zinazo tumika kwenye vifaa vyote vya mawasiliano vya Wachina - sasa tatizo liko WAPI?
 
Americans are evils, lol! Hii mijamaa ni mbinafsi sijawahi kuona. Yaani hizo claims ni za kitoto mno katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia.
 
Utandawazi (tundu wazi) wa kiuchumi/biashara ni kwa ajili ya US na Nchi za ulaya (makampuni ya nchi hizo)kujiingiza katika biashara na chumi za nchi zenye matundu tu na sio kinyume chake.
 
Hii inaitwa protectonism, unalinda soko lako la ndani kwa kutoa madai ya kukandia washindani wako. Lakini Marekani ikumbuke kuwa Uchina ni soko kubwa sana. China hawana tatizo la walaji kwa vile soko la ndani linatosha. Wakiwafukuza toka Marekani Wachina nao watasusia bidhaa za Marekani.
 
A US government security review has found no evidence telecoms equipment firm Huawei Technology spies for China.

The 18-month review, details of which were leaked to the Reuters news agency, suggests security vulnerabilities posed a greater threat than any links between the firm and the Chinese government.

link BBC News - Huawei - leaked report shows no evidence of spying
 
Anachofanya US ni kulinda viwanda vyake 'at any cost'... WaChina si wajinga wa ku-infiltrate security ya US kwa kutumia hardware or software component za Huawei or ZTE... Kazi ya haya makampuni ya kichina ni kupunguza/kuua nguvu ya makampuni ya Tech ya US na EU... Labda wangesema hakuna 'fair play' kutokana na subsides wanazopata kutoka chinese govt labda ingeeleweka... Lakini mwisho wa siku lazima kitaeleweka...
 
Back
Top Bottom