abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,422
- 2,301
Habar wadau wa JamiForums ningependa kutoa taarifa kwa Serekali yangu pendwa kwamba isidanganywe kwamba China Corona ipo Wuhan pekee Kwan sio kweli
China yote sasa hivi Ina wagonjwa wa korona nimetoka kuongea na jamaa yangu yupo guanzuu China anasema wagonjwa wapo wengi Sana pale kwao zaidi ya elfu 2 wamesha athirika so tusije kudanganywa kwamba tunapokea wachina ambao wanatoka sehemu salama pia naona wabongo wengi wanakuja wanasema wako ok ila mm Nina wasiwas tz au Africa kwa ujumla corona itakua imesha ingia huenda atujajua sababu tu may be watu wanaugulia home.
Tusidanganyike China sehemu ambayo bado hawajapata mgonjwa wa korona ni Beijing na Hong Kong pengine pote tayar ombi kwa Serekal tuamke
Sent using Jamii Forums mobile app