China yazuia watu wake kuwekeza Israel

China yazuia watu wake kuwekeza Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,926
Reaction score
6,027
HABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya.

Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!.
Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye mshirika wetu-Waziri wa uwekezaji Israel.
 
Attachments

  • IMG_4865.jpeg
    IMG_4865.jpeg
    158.9 KB · Views: 9
Israel anaendeshwa na USA hiyo ni aibu kubwa
Wajinga kama wewe ndiyo wanasema Israel anaendeshwa na USA wakati huohuo hujui kuwa Israel na USA ni Washirika (Allied).

Nchi hizi mbili zinafanya mambo yao kwa kushirikiana katika kila nyanja. Nchi moja haiwezi kufanya jambo mpaka imshirikishe mwenzake na hivyo ndivyo inavyofanyika kwa Israel na Marekani ila Mabumunda kama wewe hamjui na mnatia aibu!!
 
Kwanza shikamoo mzee, haya tuendelee, Hakuna ushirika wa tajiri na maskini, israel ni chawa wa USA hata hiyo ban kwa china ni ushawishi kutoka state,

Ila tunza hii mzee wangu Echolima1 china ndani ya miaka 5-15 ataipiku USA kwa kila kitu

Muda ni muamuzi mzuri
 
Mara hii unataka kugeuka kuwa Sheihe Yahya kutabiri yajayo? kwanza Israel si Chawa wa Marekani bali nchi hizo ni Washirika (Allied) labda tu hujui maana ya washirika!! Kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa Kwa miaka hiyo 5-15 Marekani na ISRAEL watakuwa hapohapo?
 
Hata kama watasogea ila watapitwa

Ndio mimi ni sheikh yahaya junior 😃😃
 
Hata kama watasogea ila watapitwa

Ndio mimi ni sheikh yahaya junior 😃😃
Una uhakika gani wanapigwa? Chuki zako ndizo zitasababisha wapigwe?

Akili za Wafuga Midevu na Majini mnazijua nyie wenyewe tu!!
 
HABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya.

Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!.
Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye mshirika wetu-Waziri wa uwekezaji Israel.
Wachina wana akili sana. Wanajua Israel inakwenda kufutwa kwenye uso wa dunia na Iran hivyo uwekezaji wao utapotea bule
 
HABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya.

Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!.
Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye mshirika wetu-Waziri wa uwekezaji Israel.
Sawa Malkia Zumaridi, bwabwa la Mayahudi
 
Wajinga kama wewe ndiyo wanasema Israel anaendeshwa na USA wakati huohuo hujui kuwa Israel na USA ni Washirika (Allied).

Nchi hizi mbili zinafanya mambo yao kwa kushirikiana katika kila nyanja. Nchi moja haiwezi kufanya jambo mpaka imshirikishe mwenzake na hivyo ndivyo inavyofanyika kwa Israel na Marekani ila Mabumunda kama wewe hamjui na mnatia aibu!!

Kuitana wajinga hakubadilishi ukweli.

Kuwa washirika (allies) haimaanishi hakuna uhusiano wa nguvu (power imbalance).

Historia na siasa za kimataifa zinaonyesha wazi kuwa Marekani ndiyo mdhamini mkuu wa Israel – kifedha, kijeshi na kidiplomasia.

Mfano: Marekani huipatia Israel mabilioni ya dola kila mwaka kama msaada wa kijeshi, hutumia kura yake ya veto kuilinda Israel katika Baraza la Usalama la UN, na sera nyingi za Israel haziwezi kusonga bila uungwaji mkono wa Washington.

Hiyo ndiyo maana watu husema Israel inaendeshwa au inalindwa na Marekani.

Kuwa allies hakufuti ukweli kwamba mmoja ana nguvu zaidi kuliko mwenzake.

Kwa hiyo hoja si matusi, bali ni kuelewa tofauti kati ya “ushirika” na “udhamini wa nguvu.”
 
Kuitana wajinga hakubadilishi ukweli.
Acha kujitoa ufahamu!! Ujinga si tusi ni kutokuelewa lakini tukikuelewesha ujinga Una kutoka!!
Kuwa washirika (allies) haimaanishi hakuna uhusiano wa nguvu (power imbalance).

Historia na siasa za kimataifa zinaonyesha wazi kuwa Marekani ndiyo mdhamini mkuu wa Israel – kifedha, kijeshi na kidiplomasia.
Kama Marekani na Israel wenyewe wanasema ni Washirika wewe Mmatumbi wa Kilwa-Masoko unapinga sisi wengine tunakuona kama Nguruwe tu!!!

Nchi kupeana misaada mikubwa kama hiyo inaonyesha wazi ni njinsi gani walivyo washirika wajinga kama ninyi Mtaita kila jina mnalokaririshwa na waarabu na ninyi Waarabu-koko mnaanza kubwabwaja bila hata kujua maana ninyi mnatumika tu na waarabu kama condom.
Kuwa allies hakufuti ukweli kwamba mmoja ana nguvu zaidi kuliko mwenzake.
kuwa Allied si lazima muwe wote mna nguvu sawa mnaweza hata kama mmoja Ana nguvu ndogo, Wafuga Midevu na Majini Acheni Ujinga wenu!!
 
Back
Top Bottom