China yawazuia Waislam kufunga swaumu

China yawazuia Waislam kufunga swaumu

Status
Not open for further replies.

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
3,324
Reaction score
1,379
Wakuu

Serikali ya China imepiga marufuku wanafunzi, walimu na watumishi wa umma katika eneo la Xinjiang lenye Waislamu wengi kutekeleza ibada ya Saumu kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Serikali pia imezuia watu kuhudhuria marasimu yoyote ya kidini ikiwa ni pamoja na ibada za usiku.

Taarifa ya serikali imetaka biashara kwenye hoteli na mikahawa kufunguliwa nyakati za mchana kama kawaida. Wanaharakati wa Kiislamu wamepinga agizo hilo la serikali wakisema linalenga kuhujumu dini tukufu ya Kiislamu.

Kwa miaka kadhaa sasa, serikali ya China imekuwa ikitekeleza sheria hiyo ya kibaguzi, na mwaka uliopita, watu kadhaa walifikishwa kortini kwa kukaidi sheria hiyo na kutekeleza ibada ya funga. Ingawa serikali inasema lengo la kuweka sheria hiyo ni kuhakikisha masuala ya dini hayavurugi muundo wa jamii, duru za kuaminika zinasema sheria hiyo ina malengo ya kiuchumi kwani imewekwa ili kuhakikisha nguvu kazi ya taifa haipungui katika mwezi wa Ramadhani.


Professor kilaza
(safarini uchina)
 
mbona najua mtu yupo china anadai si kweli wanafunga?
 
Waislamu China hawawezi kuacha kufunga kwa kuwa serikali ya Kikomunisti inasema hivyo.

Kuna misikiti huko ina miaka 600. Dini ya Kiislamu hawajaanza kuifuata leo na serikali ya China haiwezi kuwazuia hata wafanye nini.

Kuna wakatoliki pia wanafuata dini yao ya Kikristo japokuwa hawaruhusiwi.



XINING – Welcoming the holy fasting month of Ramadan, tens of thousands of Chinese Muslims woke up very early on Friday, July 20, and went to the 600-year-old Dongguan Mosque in Xining to attend the first Fajr (dawn) prayers in the holy month.

“The month of Ramadan is the greatest and most revered month for Muslims,” Ma Yongliang, who runs a logistics company in Xining city, told Xinhua news agency.

“The prayer on the first day is also extremely important.”

Every morning, Muslims wake up at 3 am during Ramadan to prepare pre-dawn meal or Sahur.Living in an atheist country where the practice of religion is widely discouraged, Muslims in China are defying restrictions to keep hold of their faith.

ImageUploadedByJamiiForums1434680801.230043.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1434680824.544941.jpg

source:halalfocus.net
 
China has attempted to regulate Christianity by establishing the “Three-Self Patriotic” churches — both Protestant and Catholic. The Catholics are prohibited from having any contact with the Vatican. Millions have just quietly refused. Their priests and bishops are regularly detained by police, subjected to house arrest and accused of being unpatriotic.


source:beliefnet.com


ImageUploadedByJamiiForums1434681452.956768.jpg
Chinese Christian arrested

ImageUploadedByJamiiForums1434681526.623517.jpg
"House Church" meeting illegally to worship.
 
Sehemu kama tz nguvu kazi inapungua sana wakati wa mfungo hio sheria ingekuwepo bongo pia
Mmh........... usianze kutafuta visingizio.

Inawezekana wewe ukawa una hulka ya uvivu, huwa haijalishi uwe umeshiba au njaa inauma, ukiwa na hulka ya uvivu, wewe utategea tu kazi...............
 
serikali haina dini,,bt haikupaswa kuingilia iman za raia wake,,.,
swal la kuzuia hotel na migahawa icfungwa kwa upnde wang liko sahihi,.mana kuna watu wanaishi kwa kutegemea biashar ndogo ndogo kama hizo,,
xx ukimlazmish aifunge atajipatia wap ridhiki yake,,??
tatizo linakuja hapo unapomzuia mtu na iman yake asishiriki swala,..
 
Msiharibie watu funga zao, sidhani kama ni mda wa kukashifu na kusemana sasa.
Waislam ni mda wenu kutubu dhambi, kumrudia mwenyezi Mungu na kuachana na uovu wala kukashifiana.
Hao wachina waacheni, wana mifumo yao na serikali zao. Hayatuhusu. Muwe na mfungo mwema!!
 
Kwani ishafika july 20? Ya mwaka gani hiyo?
Kichwa Ndio Mtu

Hawa hapa Waislamu wanaenda kusali. Angalia tarehe pia na source.
Soma kitu gani hawaruhusiwi kufanya na angalia picha vizuri.

ImageUploadedByJamiiForums1434698779.414846.jpg



ImageUploadedByJamiiForums1434698641.231036.jpg


This photo taken on April 16, 2015 shows Uighur men praying in a mosque in Hotan, in China western Xinjiang region. Chinese authorities have restricted expressions of religion in Xinjiang in recent years such as wearing veils, fasting during Ramadan and young men growing beards, sparking widespread resentment.

ImageUploadedByJamiiForums1434699066.474582.jpg

Unavyoona wewe, waende msikitini siku zote, wafuge ndevu kama sunna, na wanawake wavae hijab zao kila siku ila mwezi huu tu ndiyo wasifuate Dini yao na utamaduni wao kwa kuwa imesema serikali?
Unafikiri hawa ni vilaza watafuata amri za kijinga?

Source:Aquila-style.com
 
Last edited by a moderator:

Muslims pray on the first day of Ramadan at a mosque in Beijing on June 18, 2015.​
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom