MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,114
- 3,768
Rais wa Taiwan Tsai Weng yuko ziarani katika nchi za Amerika ambapo atasimama katika majimbo 2 ya Marekani ya New York na California kabla ya kuelekea katika nchi za Belize na Guantamala.
Akiwa jimbo la California, rais wa Taiwan atakutana na Spika wa bunge la wawakilishi la Marekani Mrepublican McCanthy licha ya Uchina kupinga ziara hiyo. Uchina imetishia kujibu vikali endapo Weng atakutana na spika huyo.
Mwezi uliopita Taiwan iliingia mkataba na Marekani wa kununua makombora 100 ya Masafa marefu yenye uwezo wa kuzamisha Meli za kivita umbali wa Kilometa 600. Umbali kutoka kisiwa cha Taiwan mpaka Uchina bara ni Kilometa 130.
US House Speaker Kevin McCarthy’s plan to meet Taiwan President Tsai Ing-wen has provoked anger in Beijing. Why is China so upset at a meeting between Tsai and McCarthy?