China yakanusha kuipeleleza AU

China yakanusha kuipeleleza AU

Hao WAFARANSA Nao ili waonekane wema ndio wanasema ya wenzao? Wao na ile France Afrique bado mpaka leo wanayo, ila nyani haoni....

Afrika tutaijenga wenyewe au tutaibomoa wenyewe !!!
Its doesn't matter ni nani amesema,La msingi we have to watch our ASS.
 
hizi ni propaganda za kuichafua china kwa kuichonganisha na africa baada ya kuona china inakuja kwa kasi katika uwekezaji africa
hahahah,Unafikiri Wachina ni malaika sio?,Kwamba wao hawataki kujua makoloni yake yanawaza nini?.Think.
 
Sawa kabisaa uzuri Viongozi Shitholes wanawatawala wananchi shitholes ukiwemo na wewe.
na wewe na baba yako na mama yako na kaka zako na dada zako wote, wote , wote, wote , wote, wote
 
hizi ni propaganda za kuichafua china kwa kuichonganisha na africa baada ya kuona china inakuja kwa kasi katika uwekezaji africa
Nitajie nchi ambayo China amewekeza ikaendelea,hasa ya Africa!?

Wizi wa China bora hata wazungu wanakuibia kwa haya lakini sio hawa waliovimba macho.
 
Shida sana afrika kosa kubwa sana tulilofanya kuacha Gaddafi anauwawa kizembe
 
Nitajie nchi ambayo China amewekeza ikaendelea,hasa ya Africa!?

Wizi wa China bora hata wazungu wanakuibia kwa haya lakini sio hawa waliovimba macho.
Wakulaumiwa sio China wala wazungu
 
Back
Top Bottom