sasa inatusaidia nini sisi watanzania.Umejuaje nimefurahi?
Tatizo la wana ccm wanajinasibisha na china wakidhani kwamba china akifanikiwa ndo Tanzania kafanikiwa kupitia CCM, hawajui kwamba wote ni mabeberu tu na wao ni mbuzi jikeHapo ni sawa na israel na palestina, mwenzako ameua watu wako ishirini wewe uliyeua mmoja ndiyo unashangilia ushindi, marekani wameweka tariffs za zaidi ya 460 billions of dollars na wamesema china wakilipa kisasi wataweka tariffs kwenye bidhaa zote za china sasa hapo nani ataumia
we ndo umejibu unachoelewa si ushabiki, CHINA NDO ATAUMIA SANA NA MSISHANGAE MATOKEO YAKAWA MABAYAtrade deficit kati ya China na USA ni kubwa mno, kwenye trade war mchina ataumia sana tu, na hapo bado EU, Canada na Australia hawajaanza kumkalia kooni kisawasawa.
Next time we have to engage our minds when thinking about strategic issues which are related to our economies.sasa inatusaidia nini sisi watanzania.
Hapo ni sawa na mwenzako anakohoa kidogo ili kurekebisha koo lakini wewe unajamba kwa nguvu ili kumkomoaChina has decided to impose tariffs of 25 percent, 20 percent and 10 percent on certain U.S. products starting June 1, announced the Customs Tariff Commission of the State Council in a statement issued Monday.
The tariffs will be targeting U.S. goods worth 60 billion U.S. dollars, the statement said, adding that the products under five percent tariff cap would not be affected by this round of tariffs.
SOURCE: CGTN
The Chinese are meaningless!China has decided to impose tariffs of 25 percent, 20 percent and 10 percent on certain U.S. products starting June 1, announced the Customs Tariff Commission of the State Council in a statement issued Monday.
The tariffs will be targeting U.S. goods worth 60 billion U.S. dollars, the statement said, adding that the products under five percent tariff cap would not be affected by this round of tariffs.
SOURCE: CGTN
Ila mkuu unajua China hata asipouza nje bidhaa zake watu wake tu wanaweza kununua na uchumi ukaendelea kukua kama kawaidaThe Chinese are meaningless!
Msuli wao wa uchumi bado haujajaza kama wa USA!
Ila mkuu unajua China hata asipouza nje bidhaa zake watu wake tu wanaweza kununua na uchumi ukaendelea kukua kama kawaida
Najua mkuu kuanzia magari simu kuku mavyuma ya viwandani hadi maji ya kunywa mkuuSi kweli mzazi
Export kubwa kabisa ya China inaenda USA na wala sio Africa au Europe au Asia kama unavyodhani..
Wakinyimwa USA basi taabu tupu itafuata na EU maana EU ni vijakazi wa USA,akisema ruka vinasema how high!
Soko la USA is the biggest to Chinese!