Umoja ni nguvu utengano ni udhaifuSi mlikuwa mnakataa hapa kuwa Urusi haijaomba na wala haiwezi kuomba msaada wa kijeshi kutoka China?
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifuSi mlikuwa mnakataa hapa kuwa Urusi haijaomba na wala haiwezi kuomba msaada wa kijeshi kutoka China?
Too late to catch the trainInawezekana maisha ya mbele china akawekewa vikwazo maana mabeberu ndio yanayo kupandisha na kukushusha
Kupelekewa zaidi haina maana ya kuomba.Yawezekana ni zawadi za China kujipendekeza kwa Urusi au ana maana nyengine. Na si heshima kuletewa zawadi na nduguyo hasa wakati wa shida ukaikataa.Si mlikuwa mnakataa hapa kuwa Urusi haijaomba na wala haiwezi kuomba msaada wa kijeshi kutoka China?
Pole sana mkuuhasara itazidi kuwa kwao... africa na mchina damu damu... na miktaba tuliyo ingia nae ni raha tupu, kuanzia somalia mpka zambia, nenda misri mpaka ghana... rudi malysia, indonesia etc... na makampuni makubwa yatakayo pata hasara ni ya US ambayo yanafanya uzalishaji wake kutokea china kama iphone etc
Sa kama kisiriiii we umejuajee ........ iyo sio kisiri tena iyo ni china inaisaidia urusiBaada ya minong'ono ya muda mrefu kuhusu uwezekano wa China kuisaidia Urusi katika vita vyake na Ukraine hapo jana kwa mara ya mwanzo China imepeleka moja ya silaha zake kali za kutungulia ndege huko Serbia jirani na Urusi.
Katika msafara huo uliofanywa kwa siri ndege 6 za kubebea mizigo aina ya Y-20 zilitua Belgrade hatimae kwenda Serbia zikiwa zimebeba makombora ya kichina ya HQ-22 maalum kwa kutungulia ndege.
Hatua hiyo ya China imekuja wakati Urusi ikiwa imebadili kamanda wa kivita nchini Ukraine na rais Zelensky wa Ukraine naye akiwatolea jeuri mataifa ya NATO kwa kusema hana hamu tena na Diplomasia yao.
BELGRADE, Serbia — Russian ally Serbia took the delivery of a sophisticated Chinese anti-aircraft system in a veiled operation this weekend, amid Western concerns that an arms buildup in the Balkans at the time of the war in Ukraine could threaten the fragile peace in the region.
Are you on Telegram? Subscribe to our channel for the latest updates on Russia's war in Ukraine.
Media and military experts said Sunday that six Chinese Air Force Y-20 transport planes landed at Belgrade’s civilian airport early Saturday, reportedly carrying HQ-22 surface-to-air missile systems for the Serbian military.
Baada ya minong'ono ya muda mrefu kuhusu uwezekano wa China kuisaidia Urusi katika vita vyake na Ukraine hapo jana kwa mara ya mwanzo China imepeleka moja ya silaha zake kali za kutungulia ndege huko Serbia jirani na Urusi.
Katika msafara huo uliofanywa kwa siri ndege 6 za kubebea mizigo aina ya Y-20 zilitua Belgrade hatimae kwenda Serbia zikiwa zimebeba makombora ya kichina ya HQ-22 maalum kwa kutungulia ndege.
Hatua hiyo ya China imekuja wakati Urusi ikiwa imebadili kamanda wa kivita nchini Ukraine na rais Zelensky wa Ukraine naye akiwatolea jeuri mataifa ya NATO kwa kusema hana hamu tena na Diplomasia yao.
BELGRADE, Serbia — Russian ally Serbia took the delivery of a sophisticated Chinese anti-aircraft system in a veiled operation this weekend, amid Western concerns that an arms buildup in the Balkans at the time of the war in Ukraine could threaten the fragile peace in the region.
Are you on Telegram? Subscribe to our channel for the latest updates on Russia's war in Ukraine.
Media and military experts said Sunday that six Chinese Air Force Y-20 transport planes landed at Belgrade’s civilian airport early Saturday, reportedly carrying HQ-22 surface-to-air missile systems for the Serbian military.
Wewe sasa umevurugwa zaidi kuliko hata hao waliopo Kremlin![]()
ndio mwendo mkuuHiyo copy and paste
🤣🤣🤣🤣yaani inawasaidia kwa Siri Ila wewe Mrusi wa Manzese umejua
yani kama ni maji yamesha zidi unga na hakuna unga mwingine!Too late to catch the train
Ilipofika China haiwezi kurudishwa nyuma na nchi yoyote..
Narudia it is too late
China ajipendekeze kwa Urusi kwa lipi special Urusi alilonalo?Kupelekewa zaidi haina maana ya kuomba.Yawezekana ni zawadi za China kujipendekeza kwa Urusi au ana maana nyengine. Na si heshima kuletewa zawadi na nduguyo hasa wakati wa shida ukaikataa.
Cha kushangaza ni kwamba Mrusi anaongoza kwa silaha bora kabisa duniani.yaani inawasaidia kwa Siri Ila wewe Mrusi wa Manzese umejua
Hatuzungumzii kujipendekeza isipokuwa kama China wamefanya hivyo ni njia ya kumuonesha Urusi kuwa fanya tu na sisi tuko nyuma yako.Hiyo kwa China ni jambo jema kwani adui wa Urusi na China ni huyo huyo.Hivyo kufanya hivyo ni kumpa moyo mwenzake kuwa asirudi nyuma,achukue hicho kidogo kwanza na akitaka zaidi aseme tu.Zaidi inaweza kuwa akitaka vijana wajiunge naye kuongoza hiyo mitambo yake asikae kimya.China ajipendekeze kwa Urusi kwa lipi special Urusi alilonalo?
Silaha hizi hizi zinazoteketezwa kwa Javelin na Stinger hapo Ukraine au kuna nyingine?Cha kushangaza ni kwamba Mrusi anaongoza kwa silaha bora kabisa duniani.
Labda ana nyingine ameweka stoo anamngoja mmarekani na NATO waingie azitoe uvunguni.Silaha hizi hizi zinazoteketezwa kwa Javelin na Stinger hapo Ukraine au kuna nyingine?