CHINA vs GERMANY

CHINA vs GERMANY

Ubalozi wa China wanajiandaa kulisemea hili. Naamini!
 
Mi kama ndo China aisee Ntatfuta alieyetengeneza hii picha ni hukumu ya kunyongwa hadharan! Yaaani gari limekuwa la mabox? @@@@@***###sjielew!
Lkn teh teh teh duh!!
 
China wanatusaidi sana sana ingawa nafuu ina hasara zake: wao wanakuwa na speed sana ya copy and paste, wakati huohuo bidhaa feki, matatizo ya mionzi, wachafuzi wa mazingira hapa kwetu na kwao pia, kwao viwanda kedekede (pollution), majengo marefu sana. tatizo la kimazingira halitawaacha hapo mbeleni.

Ulaya (German) wameshtuka, wanawekeza zaidi china, asia na kwingineko, hawajengi majengo marefu sana, wanajenga zaidi underground, wanatunza mazingira saana, kuna baadhi ya mito miaka ya 1960 na 70s ilikuwa michafu sana na hata ukiogea maji yake lazima upate madhara ya ngozi, leo hii imekuwa misafi sawasawa na mito katikati ya bustani ya edeni!

Sisi je? ndio mbaya zaidi
 
Uwe umejiandaa, manaake huko hata refa huwa hayuko salama...!!
Wewe acha chezeya mimi eeeh mi mwenyewe baunsa hilo hata halinifanyi nirudi nyuma yaani hata kama unaweza nifanyia mpango hata leo hii wa huo urefa mi nitafurahi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom