For now I don't care who owns it as long as huu ndio ufumbuzi mkubwa wa maana na pekee ktk kuondoa tatizo la umeme nchini. Na sielewi kwa nini mitambo yote inayoingia ya kuzalisha umeme inayoingia nchini leo isifungwe Mtwara kwenye gas na kuunganishwa kwenye gridi ya taifa kwa sababu tutaondoa kabisa tegemezi la generators za kutumia mafuta ambazo ni ghali na zinazidi kuigharimu Tanesco na wananchi kwa ujumla...