wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,966
- 3,679
wenzenu wanafanikiwa maana wanataka kufika haraka(sasa). unakaa na mawazo ya kimasikini kudai jambo la muda... Ndo maana mpaka waafrika hatufanikiwi, maana tumezoea kula makombo. tunajua wenzetu wakichoka watatuletea. so tunasubiri tu. Inauma sana hii.Kama tumefika tulipo, huko nako tutafika, ni wakati tu
China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuu😀😀😀
NB: Tudadavue uhalisia wa hii habari
View attachment 3349310
Hii 10G ni kasi ya mtandao kupitia Optic Fibres, yani nyaya... majengo yanaunganishwa na nyaya yanapata Internet yenye kasi ya 10 Gigabytes kwa Sekunde kutuma au kupokea data kwenye Internet... ni tofauti na 5G ambayo yenyewe ni Wireless kwenye kutuma na kupokea data.Hii taarifa iko nusu na ina nia ya kupotosha.
China anazindua 10G kwa maana kwamba anazindua uwezo wa kupakua data ama download speed ya 10 gigabytes na sio kwamba anazindua 10G ya maana ya Generation kama 5G.
Soma hiyo taarifa hapa chini. Kinachozungumziwa kwenye 10G ni G ya Gigabytes ya kupakua data na sio G ya Generation kama ya 5G.
What Does China’s Newly Launched 10G Internet Actually Mean?
Between April 20 and 24, media outlets reported that China had launched 10G internet for the first time. According tomythdetector.com
10G ni inatumia Waya kutuma dataHii 10G ni kasi ya mtandao kupitia Optic Fibres, yani nyaya... majengo yanaunganishwa na nyaya yanapata Internet yenye kasi ya 10 Gigabytes kwa Sekunde kutuma au kupokea data kwenye Internet... ni tofauti na 5G ambayo yenyewe ni Wireless kwenye kutuma na kupokea data.
10G ni inatumia Waya kutuma data
5G ni Wireless kwenye kutuma data
Kama hupendwi utatafutiwa sababu tu utake usitake. China kanyaga twendeIla kwa china inayoijua, Kuna uwezekano mkubwa 4 G ya USA, ikawa na nguvu, na imara kuliko 10 G ya china
yaani hata kama ingrkua inatumia reli kusafirisha data. Point ni kwamba wenzake bado wapo 5G katika aina hyo ya usafirishaji data. Hyo inatosha kumpa china maua yake.Hii 10G ni kasi ya mtandao kupitia Optic Fibres, yani nyaya... majengo yanaunganishwa na nyaya yanapata Internet yenye kasi ya 10 Gigabytes kwa Sekunde kutuma au kupokea data kwenye Internet... ni tofauti na 5G ambayo yenyewe ni Wireless kwenye kutuma na kupokea data.
10G ni inatumia Waya kutuma data
5G ni Wireless kwenye kutuma data
Hata Iphone zinazotumika marekani na ulaya zinatengenezwa na hao hao.Tecno ili,tengenezwa na hao hao
kenge wa mama sijui aijiipii wa mama waziri salum wa mama nakadhalika huku wanapigwa bilions yaani kama mazombi ila masiisiiemu Mungu anayaonaNani kama mama😂! Wiki hii tumezindua gurudumu la mama
Unatumia starlink? Kwa mtu alie bongo hataki kutumia router za mitandao ya simu lakini apate net kama hio unamshauri vipi?10G wanamaanisha nini? What will the speeds be in megabits per second?
Kwa maana ya 10 Gbps, 10,000 megabits per second au 10G hii ya branding kama mnayoambiwa simu ina 5G halafu haifikishi hata 600 mbps?
10G ya ukweli hapo una download movie 5 za 2 gb kwa sekunde moja.
10G hiyo ujue inabidi uwe na kazi nayo maalum, kuangalia video za Youtube tu 10G utaivunjia heshima yake.
Mimi nina home network inayo support 10G nyumbani (modem, router, switches mpaka NAS devices, lall 10GB SPF cards, laptops on 2.5 gb usb3/ ethernet, and Wifi 7) na naona kabisa sijafikia matumizi ya ku exhaust hata 5Gbps let alone 10Gbps.
Unlwss wanatumia 10G ku brand na ku cobfuse watu wasiofuatilia speeds.
Au ni mvinyo uleule katika chupa mpya!!?😂👆Sasa kama 5G walisema inafanya mambo Makubwa kupindukia hiyo 10G itakuwa ni kitu gani? Au ni jina tu wamepachika?
Hata 5gbps ni kubwa sana kwa wabongo wengi, wengi ni YouTube, tiktok, fb Sasa hiyo 10g kwa vitu hivyo ni nonsense tu.10Gbps kwa mtu wa kawaida Bobgo use case yake ni ipi?
Mkuu, wewe umeielewaji hii taarifa?China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuu😀😀😀
NB: Tudadavue uhalisia wa hii habari
View attachment 3349310
Marekani asingepambana ulaya na australia kutochukua 5g za HuaweiIla kwa china inayoijua, Kuna uwezekano mkubwa 4 G ya USA, ikawa na nguvu, na imara kuliko 10 G ya china