China spy/survaillance baloon

Hapa mkuu umenipiga za uso. Lakini naamini ipo zama ambapo nasi Waafrika na watu wengine tuliokuwa nyuma tutakuwa mbele, kanuni na ushahidi wa kihistoria unasema; kutesa kwa zamu, Mungu hajawaacha jamii fulani ibaki nyuma siku zote.
Mungu ?
 
Mkuu

Hili dubwasha Afrika lilipita

Hapo kwetu limepita, limepiga picha za kutosha....

Watu wameuchuna, wanazungumzia America as if kwao halikupita...

Ujinga tu!
Huku kwetu hata Kama likipita ,litadukuwa nn mkuu,labda mizinga ya asali tuliyotega maporini!!so kwetu Halina madhara .
 
Sawa hatukatai technolojia zimekuwa lakini waafrika au watanzania kwa ujumla wenu hakuna technolojia yoyote mliyofanikiwa kukuza hapa duniani.
Teknlojia iliyokuzwa Tanzania ipo,mfano ni majungu,unafiki,uoga,uchawi ,ufisadi ,njaa,umaskini,ufitni nk.kimsingi uvumbuzi ni mwingi
 
Teknlojia iliyokuzwa Tanzania ipo,mfano ni majungu,unafiki,uoga,uchawi ,ufisadi ,njaa,umaskini,ufitni nk.kimsingi uvumbuzi ni mwingi
Ulambaji wa asali nao vip ?
 
China wakorofi tu kama wamelituma baloon kwa ajili ya mambo ya hali ya hewa ? ina maana hawana space ya satellite huko angani?
 
Duh
Puto limetoka china hadi amerika 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…