China spy/survaillance baloon

China spy/survaillance baloon

Hapa mkuu umenipiga za uso. Lakini naamini ipo zama ambapo nasi Waafrika na watu wengine tuliokuwa nyuma tutakuwa mbele, kanuni na ushahidi wa kihistoria unasema; kutesa kwa zamu, Mungu hajawaacha jamii fulani ibaki nyuma siku zote.
Mungu ?
 
Mkuu

Hili dubwasha Afrika lilipita

Hapo kwetu limepita, limepiga picha za kutosha....

Watu wameuchuna, wanazungumzia America as if kwao halikupita...

Ujinga tu!
Huku kwetu hata Kama likipita ,litadukuwa nn mkuu,labda mizinga ya asali tuliyotega maporini!!so kwetu Halina madhara .
 
Sawa hatukatai technolojia zimekuwa lakini waafrika au watanzania kwa ujumla wenu hakuna technolojia yoyote mliyofanikiwa kukuza hapa duniani.
Teknlojia iliyokuzwa Tanzania ipo,mfano ni majungu,unafiki,uoga,uchawi ,ufisadi ,njaa,umaskini,ufitni nk.kimsingi uvumbuzi ni mwingi
 
Siku ya jumamosi tarehe4 jeshi la Marekani lilifanikiwa kuitungua baloon ya upelelezi, surveillance baloon/ spy baloon, kama ilivyoelekezwa na Rais Biden.

Baloon hiyo inayosemekana ni ya jamuhuri ya watu wa China, japo serikali ya China inadai lengo la hiyo baloon ilikuwa kwa ajili ya masuala ya hali ya hewa.

Swali la kujiuliza mchina aliwezaje kufikisha baloon hiyo hadi ndani ya anga la Marekani bila kugundulika na inasemekana ukubwa wake sawa ba basi kubwa 3 za kubebea wanafunzi.

Lengo la China ni nini?

Vipi kama Marekani wasingefanikiwa kuigundua na kuitungua madhara yangekuwa nini?

Na ina semekana zingine zinaonekana Mexico na Colombia.

Karibuni tujadili.
China wakorofi tu kama wamelituma baloon kwa ajili ya mambo ya hali ya hewa ? ina maana hawana space ya satellite huko angani?
 
Siku ya jumamosi tarehe4 jeshi la Marekani lilifanikiwa kuitungua baloon ya upelelezi, surveillance baloon/ spy baloon, kama ilivyoelekezwa na Rais Biden.

Baloon hiyo inayosemekana ni ya jamuhuri ya watu wa China, japo serikali ya China inadai lengo la hiyo baloon ilikuwa kwa ajili ya masuala ya hali ya hewa.

Swali la kujiuliza mchina aliwezaje kufikisha baloon hiyo hadi ndani ya anga la Marekani bila kugundulika na inasemekana ukubwa wake sawa ba basi kubwa 3 za kubebea wanafunzi.

Lengo la China ni nini?

Vipi kama Marekani wasingefanikiwa kuigundua na kuitungua madhara yangekuwa nini?

Na ina semekana zingine zinaonekana Mexico na Colombia.

Karibuni tujadili.
Duh
Puto limetoka china hadi amerika 😁😁
 
Mkuu

Hili dubwasha Afrika lilipita

Hapo kwetu limepita, limepiga picha za kutosha....

Watu wameuchuna, wanazungumzia America as if kwao halikupita...

Ujinga tu!
Au hii ya lema
JamiiForums-1402753306.jpg
 
Back
Top Bottom