Ubavu JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 2,789 Reaction score 3,279 Jun 22, 2015 #1 Hali imekuwa mbaya kwa sasa huko china kwani kinachotokea huko sio ubinaadam kabisa. Embu angalia wanachofanyiwa waislamu Attachments 1434975912452.jpg 15.3 KB · Views: 587
Hali imekuwa mbaya kwa sasa huko china kwani kinachotokea huko sio ubinaadam kabisa. Embu angalia wanachofanyiwa waislamu
mchambuzixx JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,292 Reaction score 946 Jun 22, 2015 #2 Duuu ...unafuturishwa bila kupenda
tansoma JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 1,212 Reaction score 584 Jun 22, 2015 #3 Umbea hauna rikaa
M Mthuya JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 1,415 Reaction score 229 Jun 22, 2015 #4 safi sana
Kipilipili JF-Expert Member Joined May 25, 2010 Posts 2,272 Reaction score 1,899 Jun 22, 2015 #5 Mthuya said: safi sana Click to expand... Hata kama ni chuki ya dini imekujaa lakin hata ubinaadamu huna? Hivi huyo mtu alivyokanyagwa hivyo wewe unafurahia?
Mthuya said: safi sana Click to expand... Hata kama ni chuki ya dini imekujaa lakin hata ubinaadamu huna? Hivi huyo mtu alivyokanyagwa hivyo wewe unafurahia?
U Umsolopa ganz Senior Member Joined Jun 11, 2015 Posts 162 Reaction score 39 Jun 22, 2015 #6 I don't think hi in picha ya tukio lingine!
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,094 Reaction score 15,215 Jun 22, 2015 #7 ubavu said: hali imekuwa mbaya kwa sasa huko china kwani kinachotokea huko sio ubinaadam kabisa. Embu angalia wanachofanyiwa waislamu Click to expand... hebu tupe source ya taarifa yako cum picha. Usisambaze chuki.
ubavu said: hali imekuwa mbaya kwa sasa huko china kwani kinachotokea huko sio ubinaadam kabisa. Embu angalia wanachofanyiwa waislamu Click to expand... hebu tupe source ya taarifa yako cum picha. Usisambaze chuki.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Jun 22, 2015 #8 huyo ni punda mbeba madawa ya kulevya. acha chuki za udini.
P phill JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,364 Reaction score 621 Jun 22, 2015 #9 acha uchochezi we jamaaa.mtu mzima akili nusu
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,382 Jun 22, 2015 #10 jamani tunapokuza chuki za ki dini tunafaidi nini?
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,359 Jun 22, 2015 #11 Hapo hata akinyweshwa chupa ngapi kama kweli naye hakukusudia kunywa basi hapo anaendelea na funga yake kama kawaida
Hapo hata akinyweshwa chupa ngapi kama kweli naye hakukusudia kunywa basi hapo anaendelea na funga yake kama kawaida