China na Afrika: Nani Anaendesha Nini?

China na Afrika: Nani Anaendesha Nini?

Silivian

Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
88
Reaction score
212
Serikali ya china itakua inaendesha mambo mengi sana Africa miaka ijayo.
Kuanzia miundombinu, biashara hadi sera.

Hadi sasa wao ndio wanaendesha biashara karibu zote k.koo kupitia viwanda vyao. Wakizima viwanda tumepoteana.

Wanaamua tuvae nini tuuze nini.

20251229_082407.jpg
 
Back
Top Bottom