Jaribu Shenyang universities no English medium na recognized. Nitafute nikupe address za wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma kule. No chuo chini ya serikali ya China. among the best.
Changsha ni chuo ambacho hakijakuwa approved degree yko huenda isitambulke mm nliaply miaka 2 nyuma na nkajiandaa na safari but nikaja kupata hizo habari
Wakuu, nami ninataka kumpeleka mdogo wangu China akasome Bachelor of Medicine, nimeambiwa Chuo cha CHENYANG MEDICAL UNIVERSITY kipo vizuri. Ninaomba mnishauri nisije kupoteza pesa na muda wa mdogo wangu.