Anonymous101
Senior Member
- Sep 21, 2015
- 176
- 66
Ina maana hujawahi sikia wanafunzi wa Tanzania wanavyoteseka na kunyanyasika
Huko nje na RAIA wa kawaida jee bunguni hujasikia wanavyoteswa na wazawa ila sijui mnataka prestigious kitaa haya kila
Sio wote wanapitia hizo experiences.Ina maana hujawahi sikia wanafunzi wa Tanzania wanavyoteseka na kunyanyasika
Huko nje na RAIA wa kawaida jee bunguni hujasikia wanavyoteswa na wazawa ila sijui mnataka prestigious kitaa haya kila LA KHERI kijana
Mkuu kama unataka scholarship za china nenda ubaloZini zile ndo za kuaminika sabu zinatoka serikalini moja kwa moja.hizi nyingine sio za kuaminika.nilifanya application online ya English Medium Bachelor of Medicine Bachelor of Surgery,(MBBS) CHINA katika CHANGSHA MEDICAL UNIVERSITY nime pewa taarfa kuwa nimekua approved....
tafadhari naomba kueleweshwa , yeyote mwenye ufahamu na hili swala au kama ni mmoja wapo upo China una soma MBBS ..... tafadhari msaada wakuu,
Saw a jipe moyo halafu uje kuomba msaada hapaSio wote wanapitia hizo experiences.
Sio kweli inategemea nchi na nchiKusoma nje ni mateso ila vijana hamuelewi
CUCAS ma CICAS hawatoi scholarship bali wana deal na admission. Kama ni scholarship zipo zile zinazotolewa kupitia wizara ya elimu ya Tz na zile za CSC.CUCAS na CICAS..... pekee ndio wanatoa scholarship pekeake....?? naomba kujua pia
I am speaking from experience.Saw a jipe moyo halafu uje kuomba msaada hapa
asante sana mkuu, naomba , naitaji sana msaada kutoka kwa wausika wenyewe.....changisha! kama wiki mbili zilizopita nikuwa mji wa changsha..kuna watanzania wengi sana wanasoma south central university hapo changsha...kwa msada zaidi kuhusu chuo hicho ngoja niwaulize hawa jamaa.
karibu mkuu china!
CUCAS ma CICAS hawatoi scholarship bali wana deal na admission. Kama ni scholarship zipo zile zinazotolewa kupitia wizara ya elimu ya Tz na zile za CSC.
Jaribu ku google China Scholarship Council
..........ninaweza kuangalia wapi,...?? nikaona hizo project no..Vyuo vikuu bora China ni vile ambavyo vimepewa na serikali yao title inayoitwa "national project 211" au "national project 985". Nakushauri uangalie kama hiko chuo kina title hiyo. Wengi hawalijui hili jambo wanapoapply vyuo vya China
kawaida chuo kinakuwa kimeandika kwenye website yake, yaani kwenye maelezo ya kwenye website ukiona chuo kinasema kiko "under project 211" au kipo "under project 985", ujue hiko chuo ni bora. Kwakukusaidia kuelewa vizuri, fungua website ya SICAS kisha ingia kwenye list ya vyuo vyao, ukifungua kila chuo utaona kuna kitu kinaitwa "university tier" hiyo ndio itakuonyesha hadhi ya chuo fulani...........ninaweza kuangalia wapi,...?? nikaona hizo project no..
ok......... nimekupata mkuuChangsha ni mji mkuu wa jimbo linaloitwa Hunan. Pale kuna vyuo vingi , vikubwa ni Central South University (CSU) na Hunan University. Hv viko recognized na TCU, ila hiko Changsha Medical University nna mashaka km kiko recognized na TCU. Pitia TCU ku confirm. Naweza shauri usiende chuo hiki, utaji frustrate bure mana nilisikia hawana walimu wa kutosha. Au tafuta namba ya mtu anaesoma pale