nilifanya application online ya English Medium Bachelor of Medicine Bachelor of Surgery,(MBBS) CHINA katika CHANGSHA MEDICAL UNIVERSITY nime pewa taarfa kuwa nimekua approved....
tafadhari naomba kueleweshwa , yeyote mwenye ufahamu na hili swala au kama ni mmoja wapo upo China una soma MBBS ..... tafadhari msaada wakuu,
.....kwa maelezo ya chuo katka web page yao ... yana sema chuo kina tambulika na WHO l..., inawezekana ikawa sio ..!!?Changsha ni chuo ambacho hakijakuwa approved degree yko huenda isitambulke mm nliaply miaka 2 nyuma na nkajiandaa na safari but nikaja kupata hizo habari
.... nime rudishiwa taarfa na chuo chenyewe kupitia raisestudies email niliko kuwa nimeomba scholarship
Kila chuo kinavutia upande wake jiulize kwanini hicho chuo hakipo hata kwenye websites za universities agents kma CUCAS AU SICAS pia ni chuo cha wapakistani in china so kuwa makini ndugu.....kwa maelezo ya chuo katka web page yao ... yana sema chuo kina tambulika na WHO l..., inawezekana ikawa sio ..!!?
nimetaarfiwa kutaguta
aah.... siwezi kutuma pessa ata kidgo.... scholar agence anaitwa raisestudies baada ya kua approved admission later nimeambiwa niende embassy kwaajiri ua taratbu zinazo fuataaa
Kwanini?Kusoma nje ni mateso ila vijana hamuelewi
Ina maana hujawahi sikia wanafunzi wa Tanzania wanavyoteseka na kunyanyasikaKwanini?
asante sana mkuu...... nita fika embassy nipate kuwasikia naowanacho niambia juu ya hili sualaTafadhali kuwa makini sana na hivi vyuo na hususani agents.
Kuna Agents ambao ni wazuri na wanatambulika kama CUCAS . Jaribu kutembelea website yao.
Pia unaweza uka google kupata orodha ya vyuo vyenye sifa ya kupokea international students kwa China
Kama ni scholarship za China unaweza ukafanya application kupitia CHINA SCHOLARSHIP COUNCIL
Tafadhali kuwa makini sana na hivi vyuo na hususani agents.
Kuna Agents ambao ni wazuri na wanatambulika kama CUCAS . Jaribu kutembelea website yao.
Pia unaweza uka google kupata orodha ya vyuo vyenye sifa ya kupokea international students kwa China
Kama ni scholarship za China unaweza ukafanya application kupitia CHINA SCHOLARSHIP COUNCIL