China "likes" Facebook

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
[video]http://www.cnn.com/video/#/video/business/2011/07/05/intv.china.facebook.chang.cnn?hpt=hp_t2[/video]
 
Dahhh
Hawachezi mbali

Wacheze mbali wachekwe AD!? Kila wakiona opportunity ambayo wanajua watatengeneza basi wanachangamka...Pia labda wanataka kuhakikisha wanakuwa na control ya aina fulani hasa ndani ya nchi yao.
 
facebook , twiter , hi5... zimepigwa ban ndani ya china, google.com imechujwa ndani ya china inatoa results wanazotaka wao wenyewe... hawa jamaa wanataka contol tu, yasitokee yaliyotokea north africa
 
facebook , twiter , hi5... zimepigwa ban ndani ya china, google.com imechujwa ndani ya china inatoa results wanazotaka wao wenyewe... hawa jamaa wanataka contol tu, yasitokee yaliyotokea north africa

usema ukweli
so far wamefanikiwa...
na wanataka kununua Facebook kwa ajili hiyo
kiu control.. kuiweka kwenye standard watakazo wao...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
muda si mrefu wata control dunia...

Inawezekana kabisa AD maana uchumi wao unakuwa kwa kasi ya kutisha. Uchumi wao ukiendelea kukua kwa kasi hii ya sasa kwa kipindi kingine cha kati ya miaka 10 na 15 na USA wakiendelea kusuasua ukichanganya na ile population yao ya 1.4 Billion basi watakuwa ndio wababe wa dunia kiuchumi na kijeshi.
 
Back
Top Bottom