China kuzindua mtandao usiodukuliwa

China kuzindua mtandao usiodukuliwa

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,269
Reaction score
25,312
_96510601_4.jpg

Wakati udukuzi wa mitandao wanapoendesha udukuzi zaidi, China inatarajiwa kuzindua mtandao usiodukuliwa ikimaanisha kuwa itakuwa rahis kugundua kabla ya wadukuzi kuingia.

Mradi huo wa kichina katika mji wa Jinan na unautumia teknolji inayofahamika kama Quantum, unajawa kuwa hatua kubwa na vyombo vya habari vya nchi nhiyo.

Mradi huo pia ni ishara tosha kuwa China inachukua wajibu mkuwa katika masuala ya teknolojia ambayo kwa miaka mingi yametawaliwa na nchi za magharibi.

Kupitia mtandao huo wa Jinan, watumiaji 200 kutoka jeshi, serikali, sekta ya fedha na kawi wataweza kutuma ujumbe kwa njia salama.

Hatua hii inamaana kuwa China inachukua hatua kubwa kuhakikisha kuwa mitandao imekuwa salama. Sasa hunda nchi zingine zikanunua teknolojia hii kutoka China.

Chanzo: BBC swahili
 
Habari nzuri hii. Lakini kila kinachotengenezwa na mwanadamu ni rahisi kuharibiwa au kuvunjwa na mwanadamu. Pengine hii system mpya itakuja kudukuliwa tu hapo baadae.
 
_96510601_4.jpg

Wakati udukuzi wa mitandao wanapoendesha udukuzi zaidi, China inatarajiwa kuzindua mtandao usiodukuliwa ikimaanisha kuwa itakuwa rahis kugundua kabla ya wadukuzi kuingia.

Mradi huo wa kichina katika mji wa Jinan na unautumia teknolji inayofahamika kama Quantum, unajawa kuwa hatua kubwa na vyombo vya habari vya nchi nhiyo.

Mradi huo pia ni ishara tosha kuwa China inachukua wajibu mkuwa katika masuala ya teknolojia ambayo kwa miaka mingi yametawaliwa na nchi za magharibi.

Kupitia mtandao huo wa Jinan, watumiaji 200 kutoka jeshi, serikali, sekta ya fedha na kawi wataweza kutuma ujumbe kwa njia salama.

Hatua hii inamaana kuwa China inachukua hatua kubwa kuhakikisha kuwa mitandao imekuwa salama. Sasa hunda nchi zingine zikanunua teknolojia hii kutoka China.

Chanzo: BBC swahili
si dhani wamalize ku code tuingie mzingo tuone. aah
 
Hapo trump pov lnamtoka
Co kitoto

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
mwisho wa akili yako ndo mwanzo wa akili ya mtu mwingine

kudukuliwa kupo tu hata iweje wajanja wakituliza vichwa lazima wakudukue tu
 
Huu ni upotoshaji au sensationalism. Hakuna kitu kinachoitwa 'mtandao usioweza kudukuliwa'. Msingi wa udukuzi ni kutumia makosa yanayofanywa na watengenezaji wa mifumo. Kama unatengeneza mfumo 'usio weza kudukuliwa' ina maana utakuwa very complex, ukiwa complex, loopholes zinaongezeka.

Kwa kifupi, udukuzi ni kutafuta njia pasipo na njia.
 
Wamesema siyo kwamba usiodukuliwa, ni kwamba it will take you many resources and time kudukua, na once ukifanikiwa kuingia, unakuta wenzako wameshajipanga zamani kwani katika harakati zako za kudukua kuna alerts zitakuwa zinatumwa kwao.

Kwa maelezo zaidi, refer quantum coding. Ni mfumo ambao hata north koea wameanza kuupractice.

https://www.forbes.com/sites/gregsa...computing-will-change-the-world/#284aa75ead6d
 
Back
Top Bottom