Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,577
- 38,169
ukiogopa kuaibika huwez kuendelea pole MKUUTechnology copy paste strategy yao yao inawaibisha sana.
Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
ukiogopa kuaibika huwez kuendelea pole MKUUTechnology copy paste strategy yao yao inawaibisha sana.
Kwa nn,hawatarudi wakiwa hai mkuu?RIP in advance
Copy na wewe tuone hata ukitaka "blue print" unapewaTechnology copy paste strategy yao yao inawaibisha sana.
Piga pini hapa mtag jamaa tutamrudia[emoji41][emoji41]Kwa nn,hawatarudi wakiwa hai mkuu?
Mkuu ulipotea saana asee karibu tena [emoji1756][emoji1756][emoji1756]
Soon watafika Kwenye kituo chaoMkuu ulipotea saana asee karibu tena [emoji1756][emoji1756][emoji1756]
Hao copycat hawaaminik sana kwenye masuala ya usalama mahala pa kaziKwa nn,hawatarudi wakiwa hai mkuu?
Kipi hichoSoon watafika Kwenye kituo chao
Unamkumbuka yule jamaa wazambia akakusanya mabingwa wake ili waende angani ,chukua nabingwa mmoja wakike ,bint wakike aliishia kushika ujauzito .Hivi sisi tunafeli wapi?
Ilitengenezwa mwaka 1988, imagene ule mradi ungeendelea hadi leo, gari zingekua zinafananaje? Huenda tungekua tunakimbizana na Toyota, Nissani au Mitsubish za Japan.Inamuonekano wa Ki-mbwa.
Wamemchoka kabisa huyu jamaa ila ndio hovyo hawamuweziKwani mabeberu wanasemaje EINSTEIN112 ?
Wamemchoka kabisa huyu jamaa ila ndio hovyo hawamuwezi
Wachina watakuwa wababe kwa wamerikani in the coming 50 yrsHong Kong(CNN)A rocket carrying three veteran astronauts bound for China's orbiting space station module will launch from the Gobi Desert in the country's north in just over 24 hours, China's space agency announced Wednesday.
The three men, Nie Haisheng, 56, Liu Boming, 54, and Tang Hongbo, 45, will become the first Chinese astronauts to land on the initial stages of the space station, called Tiangong or Heavenly Palace, which is still under construction in a low Earth orbit.
China's Manned Space Engineering Office made the announcement at a news conference on Wednesday, saying the launch would take place at 9:22 a.m. Beijing time (9:22 p.m. ET) Thursday from Jiuquan Space Launch Center in the Gobi Desert.
Jamaa wanakuja kwa kasi kubwa sana aiseeWachina watakuwa wababe kwa wamerikani in the coming 50 yrs
Wameshaafika na it was successful dockedKipi hicho
Duh, kumbe hata sio mbaaali kiviiile kama Dar - Mwanza tu!!! 🙂 🙂 🙂 🙂Wameshaafika na it was successful docked
Hivi sisi tunafeli wapi?