China kukagua meli zote Taiwan

China kukagua meli zote Taiwan

Kwani nani kasema China alitawala Taiwan? Ila issue inakuja Marekan kutaka kuitumia Taiwan kumdhibiti na kumfanyia ujasusi China! Kitendo cha Marekan kuweka makucha yake pale kutaifabTaiwan iwake moto! China aichukue kama Marekani alivyoichukua kisiwa cha "Hawaii"
Kuna raia Hawaii analalamika kuwa Marekani? Hawaii hadi imetoa Rais wa US. Puerto Rico inapiga kura mara kibao iwe sehemu ya Marekani na kura ya maoni ya mwisho waliotaka kujiunga na Marekani ni wengi. Tena hapo wamalize kupiga kura ndio watume maombi Marekani.

Upande mwingine hujui Taiwan raia hawataki hata kusikia kuhusu China?
Na kuichunguza China si lazima Taiwan wakati kuna Japan na South Korea kote Marekani ina uhusiano mzuri kabisa.
 
Uhusiano mzuri wa marekan na Japan ulifikiaje?
 
Kuna raia Hawaii analalamika kuwa Marekani? Hawaii hadi imetoa Rais wa US. Puerto Rico inapiga kura mara kibao iwe sehemu ya Marekani na kura ya maoni ya mwisho waliotaka kujiunga na Marekani ni wengi. Tena hapo wamalize kupiga kura ndio watume maombi Marekani.

Upande mwingine hujui Taiwan raia hawataki hata kusikia kuhusu China?
Na kuichunguza China si lazima Taiwan wakati kuna Japan na South Korea kote Marekani ina uhusiano mzuri kabisa.
Suala la kutoikubali serikali ya china hakuondoi ukweli kuwa Taiwan ni sehemu ya china kwani wachechinia siwalikuwaga hawataki kutawaliwa na Urusi Lakini ni nn kilicho tokea?
Au kisa mikoa ya kasikazini hawaikubali CCM basi sio sehemu ya Tz inayotawaliwa na ccm?
 
Mikoa ya Kaskazini ina jeshi, serikali, bajeti, mipaka na inatambuliwa kimataifa kama nchi huru kama ilivyo Taiwan?
Na kwani CCM ndio serikali? Si ni chama tawala. Hiyo Chechnya ni nchi? Si ni republic kwenye Russian Federation.

Hivyo viwili havina mfanano na Taiwan. Taiwan haiikubali China na hali itaendelea kuwa hivi. China kama haitaki ifanye inachojisikia
 
Unatembea kichwa chini miguu juu!?
Rais wa Tanzania akienda Chato anakoma kuwa Rais?
Sasa kama anaendelea kuongoza serikali akiwa Chato na si tu akiwa mji mkuu basi Taiwan inaweza kuwa na claim juu ya China jambo ambalo hawafanyi.
 
Mikoa ya Kaskazini ina jeshi, serikali, bajeti, mipaka na inatambuliwa kimataifa kama nchi huru kama ilivyo Taiwan?
Na kwani CCM ndio serikali? Si ni chama tawala. Hiyo Chechnya ni nchi? Si ni republic kwenye Russian Federation.

Hivyo viwili havina mfanano na Taiwan. Taiwan haiikubali China na hali itaendelea kuwa hivi. China kama haitaki ifanye inachojisikia
Kwani Taiwan inatambulika kama nchi kimataifa?
Hata Marekani inatambua Taiwan kama sehemu ya china na ndio maana ina sera inaitwa China moja.

Na mpaka sasa Taiwan haijawahi kutangaza uhuru maana china ilisha sema siku inatangaza uhuru ndo mwanzo wa vita.
 
Jeshi la China limesema litakagua meli zote zinazopita njia ya bahari ya Taiwan.
Imesema meli zote zitasimamishwa na kukaguliwa.

Taiwan imesema haitakubali meli zake zikaguliwe liwalo na liwe

Tayari China imepeleka Meli ya kubeba ndege aina ya Shandong

Hayo yamejili baada ya Rais wa Taiwan kuzuru Marekani na kupokelewa na Spika wa Marekani.
China ilionya kuwa italipiza kisasi kwa Marekani

Je nini kitatokea,tusubiri tuone
China wakatengeneze charahani na baiskeli huko mziki wa Taiwan hawatauweza, Taiwan imejiandaa vya kutosha sana mana wamepata muda mzuri tofauti kule Ukrean, China wakianza tu atashuhudia mashambulizi kutoka kila kona ya majirani zake,

US amefanikiwa kuzishawishi nchi za majirani na China sasa imekuwa rahisi kuipa kipigo, South Korea, Japan Australia hapatatosha. China ni ndaro tu anaiogopa US kama mdudu
 
Ila ninachoona ni kuwa ipo siku vita vitazuka kila upande
North Korea VS South,Japan, USA
China VS Taiwan, USA
Russia VS Poland
 
Kwani Taiwan inatambulika kama nchi kimataifa?
Hata Marekani inatambua Taiwan kama sehemu ya china na ndio maana ina sera inaitwa China moja.

Na mpaka sasa Taiwan haijawahi kutangaza uhuru maana china ilisha sema siku inatangaza uhuru ndo mwanzo wa vita.
China inataka One China Principle ila Taiwan inaonekana haitaki. Mambo ni magumu na kwa kutumia nguvu ndio yataharibika zaidi
 
Nimesha kwambia suala la kutotaka kuwa china moja haliwezi kuhalalisha matakwa ya wao kudai yao ya kujitenga na china

Na ndio maana nilitolea mfano kuwa sehemu furani ya Tz kutoitaka CCM hakuwe kuhalalisha hiyo sehemu kujetenga na Tz.

Hata sasa hivi serikali ya Ukraine ipo inaipigania Dombas lakini raia wengi wa Dombas hawataki kuwa sehemu ya Ukraine.
 
Back
Top Bottom