Taiwan na China kuzorotesha Uchumi wa dunia

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,323
Reaction score
103,594
Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani, Bi Nancy Pelocy, anatarajiwa kuzulu Taiwan siku ya kesho...

Hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka Viongozi wa Marekani na Taiwan

China imeapa kufanya lolote lile liwalo, ikiwezekana vita endapo Nancy atawasili Taipei,...

Tayari China imepeleka silaha nzito za maangamizi mji wa mpakani wa Fujian ili wafanye lolote..

Serikali ya Marekani yapeleka Meli vita na silaha karibu na Taiwan

Chanzo: CNN

Dunia ijiandae kwa kudorora uchumi
 
Aiseee
Screenshot_2022-08-01-15-57-37-014_com.android.chrome.jpg
 
Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani, Bi Nancy Pelocy, anatarajiwa kuzulu Taiwan siku ya kesho...

Hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka Viongozi wa Marekani na Taiwan

China imeapa kufanya lolote lile liwalo, ikiwezekana vita endapo Nancy atawasili Taipei,...

Tayari China imepeleka silaha nzito za maangamizi mji wa mpakani wa Fujian ili wafanye lolote..

Serikali ya Marekani yapeleka Meli vita na silaha karibu na Taiwan

Chanzo: CNN

Dunia ijiandae kwa kudorora uchumi
wale teamKobaz wanashabikiaga vita nahis ndo watakuwa wa kwanza kuanza kulia njaa
 
Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani, Bi Nancy Pelocy, anatarajiwa kuzulu Taiwan siku ya kesho...

Hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka Viongozi wa Marekani na Taiwan

China imeapa kufanya lolote lile liwalo, ikiwezekana vita endapo Nancy atawasili Taipei,...

Tayari China imepeleka silaha nzito za maangamizi mji wa mpakani wa Fujian ili wafanye lolote..

Serikali ya Marekani yapeleka Meli vita na silaha karibu na Taiwan

Chanzo: CNN

Dunia ijiandae kwa kudorora uchumi

Hii inaitwa wacha tuone nani mbabe, Marekan anasema nitaenda, China anasema aaaah wap, kabla week haijaisha tutajua nani mbabe, ila haka kazee Biden kabishi aisee
 
Back
Top Bottom