China kugeuka adui namba moja wa Marekani?

mmarekani kafilisika, anaishi na madeni ya mchina tu. hapa uchina atakopa mpaka ashangae pesa china haiishi wakubwa hapa kila sekunde pesa inaingia. namchina hana miaka miwili anakuwa wakwanza duniani kiuchumi. wakati mmarekani anaongeza maadui mchina anaongeza marafiki .

China is still a developing country with the income per capita of less than $5000.
The bigger the economy doesn't necessarily mean better living standards. Nigeria has the biggest economy than Switzerland. Do the majority of Nigerians enjoy better living std's than the Swiss people?
China may have the bigger economy than Japan and Canada or UK, but the majority of the Chinese are languishing in poverty and their living standards are way far down.
Two things could happen with China in the near future: Boom or Bust!!
 
sio watakuja. Wamejaa tele.
Kuna sredi moja kwenye jukwaa la intelligence linasema malkia anamiliki ardhi tz.
Kila siku wanavumbua minerals na ni kama washajimilikisha.
Tumekwisha asha. Kuongea tu tunashindwa tutaweza kunyanyua silaha tupigane.

Husninyo kuna tofauti kati ya wao kuja hapa nchini na kuchukua watakacho, pamoja na kusema yoote yanaoneka ni moja lakini ukweli ni kwamba wakiendelea kuchukua lakini wakawa hawana haja na nchi yetu there is a hope that maybe, and maybe itakuja tokea watu ambao vichwa viko level kuweza weka sawa nchi na kuhakikisha wanaofaidi ni wananchi.... Sio ajabu kua malkia ana ardhi hapa inchini mana si rahisi kusema asiwe nayo sababu nchi za magharibi land ndo kila kitu, na hiyo ardhi sio kwamba ni ya juzi ni since longi.... Na mbaya zaidi si Malkia tu hata inchi na watu maarufu na wakubwa hapa duniani..
 
mmarekani kafilisika, anaishi na madeni ya mchina tu. hapa uchina atakopa mpaka ashangae pesa china haiishi wakubwa hapa kila sekunde pesa inaingia. namchina hana miaka miwili anakuwa wakwanza duniani kiuchumi. wakati mmarekani anaongeza maadui mchina anaongeza marafiki .

...unaota wewe,FYI hayo madeni ya mchina ni asset kwa Americans na wala sio liability kama wengi mnavyoelewa,hizo trillions za makaratasi anaweza kupewa kesho yake akizitaka(they can print it) lakini theres no way chinese watataka kulipwa namna hiyo,americans wanajua they cant match cheap currency/export ya chinese na hii ni sababu ya strong dollar,subiri siku when americans dollar ikiwa sawa or less na chinese currency(na ndio mpango huo) nakuhakikishia hizo contract za barabara wanazopewa chinese hapo Dar zote zitahamia washington na MADE IN CHINA garbages ndio utakuwa mwisho wake,usisahau mafuta yote kuanzia saudi Arabia,Iraq,Kuwait etc yameshikwa na vibaraka wa America(owned by Americans)...hivyo vita wanavyopigana ni kwa interest ya uchumi wao sio kuongeza maadui
 
bosi wetu siku hizi mbona hana zile safari zake za marekani kila kukicha? au siku hzi kaamua kula mihogo ya kisarawe? naona tangu aingie obama jamaa safari zimemwisha, au mwenyeji wake alimpasha nini asirudi hawana nauli ya kumrudisha kila siku
Amemuachia mama
 
Husninyo kuna tofauti kati ya wao kuja hapa nchini na kuchukua watakacho, pamoja na kusema yoote yanaoneka ni moja lakini ukweli ni kwamba wakiendelea kuchukua lakini wakawa hawana haja na nchi yetu there is a hope that maybe, and maybe itakuja tokea watu ambao vichwa viko level kuweza weka sawa nchi na kuhakikisha wanaofaidi ni wananchi.... Sio ajabu kua malkia ana ardhi hapa inchini mana si rahisi kusema asiwe nayo sababu nchi za magharibi land ndo kila kitu, na hiyo ardhi sio kwamba ni ya juzi ni since longi.... Na mbaya zaidi si Malkia tu hata inchi na watu maarufu na wakubwa hapa duniani..

kwahiyo asha unaona ubaya ni wao kuja kuweka makazi kabisa au kutupora nchi? Mi naona hata hvyo wanavyofinya ni hatari pia. Ni kama vile wanang'ata na kupuliza.
 
kwahiyo asha unaona ubaya ni wao kuja kuweka makazi kabisa au kutupora nchi? Mi naona hata hvyo wanavyofinya ni hatari pia. Ni kama vile wanang'ata na kupuliza.

Nakubaliana nawe kabisa na nimependa zaidi this sentense Ni kama vile wanang'ata na kupuliza - Hii ina maana kubwa saana, kua wakichoka kung'ata na kupuliza ndo tutapata joto ya jiwe ya moja kwa moja, hivyo statement ya kusema wameshachukua vya kwao kiulaini, watapovuka mpaka ndo tutapojua nini kinaendelea na jinsi gani ina tu affect directly....
 
...unaota wewe,FYI hayo madeni ya mchina ni asset kwa Americans na wala sio liability kama wengi mnavyoelewa,hizo trillions za makaratasi anaweza kupewa kesho yake akizitaka(they can print it) lakini theres no way chinese watataka kulipwa namna hiyo,americans wanajua they cant match cheap currency/export ya chinese na hii ni sababu ya strong dollar,subiri siku when americans dollar ikiwa sawa or less na chinese currency(na ndio mpango huo) nakuhakikishia hizo contract za barabara wanazopewa chinese hapo Dar zote zitahamia washington na MADE IN CHINA garbages ndio utakuwa mwisho wake,usisahau mafuta yote kuanzia saudi Arabia,Iraq,Kuwait etc yameshikwa na vibaraka wa America(owned by Americans)...hivyo vita wanavyopigana ni kwa interest ya uchumi wao sio kuongeza maadui

Una matatizo ya akili wewe, why on earth would you support the Americans! Tatizo la wabongo ni kutojitambua na kutojua kinachoendelea! Tena naona unajifanyaga mmarekani marekani hivi, u kno waramsey nyingi? Ovyo kabisa!
 
...LOL... was just an opinion tuu mjomba,dont sweat!!
 
Big Yes.
zaman alikua russia. USA alimsubir miaka mingi baada ya vita baridi. USA alimuachia russia kwa muda.
plan sasa ni kumsambaratisha kiuchum na kijesh
na katika 100% amefanikiwa had sasa kama kwa 30% ( shughuli inaendelea).
kwani mafuta na ges ya russia yanapambania masoko na wazalishaji wengine.

opec imevurugwa kidogo. kwani maeneo ambayo russia atakimbilia atakutana na ushindani wa opec. na wazalishaji wengine walio nje ya opec.
kama mnavyoona kelele za gas ulaya katika msimu wa baridi zmepungua.

kama mnakumbka mwez wa 8 nafkir russia aliteketeza mamilion ya ya lita za gas. had moto ukaonekana had maelfu ya kilometa

russia hatakua na uwezo tena wa kuingilia maslah ya USA kijeshi katika nchi zingine ambazo usa atatia maguu.

China ndio taifa pekee linaloweza kuingilia maslah ya USA kiuchumi katika mataifa mengine.

nayeye anaandaliwa mpango special kwa ajil yake

mpango uliopo ni kumnyongonyesha ushawish alio kua nao pasific na Africa.

Africa USA hapat shida sana kwa sababu africa ni jalala. now ananyongonyeshwa pasific wameanza na taiwan na philipine huku german akianzia na vietnam.

mambo yakienda sawia tutakua na superpower mmoja katika nyanja zote.
kijeshi, kiuchumi na kisiasa.

case closed.
 
Duh wengi wetu uelewa wa mambo ni mdogo sana, china kupigana vita na marekani ilo swala tutaishia kulisoma kwenye vitabu na kuona kwenye movies tu lakini sio kwenye reality. Ushindani uko kwenye uchumi sasa hivi, wawekezaji wakubwa uko china ni hao hao wamarekani patamu hapo.
Sahihi kabisa boss
 
BAADA ya kuuawa kwa Kiongozi wa Kundi la Al Qaeda, Osama Bin Laden na makomandoo wa Marekani wiki iliyopita walisema nchi hiyo sasa inahofiwa kuifanya China kuwa adui wake namba moja na kuuteka uchumi wake. Mtandao wa AlJzeera umewanukuu wachambuzi na wanasiasa wa Nchi ya China wakidai kuwa hali hiyo inaweza kutokea kutokana na Marekani kukataa kupingwa.

Walisema nchi hiyo inataka kufanya juu chini kuinyamazisha hata kuua uchumi wa nchi hiyo bila ya kujali maslahi ya wengine. Mtandao huo ulisema kifo cha Osama Bin Laden kinaelezwa kuwa kithibitisho tosha kuisogeza China kuwa adui mkubwa wa Marekani kutokana na kushamiri kwa kasi katika biashara na uchumi duniani.

Inelezwa kwamba upo uwezekano kwamba upo uwezekano Marekani ikaamua kutumia mabavu kuwanyang'anya uchumi Wachina. Kwa mujibu wa Mtandao wa Al-Jazeera, Wachina hao sasa wanahofia kutekwa uchumi wao kwa mabavu. Taarifa zinasema Marekani huangalia eneo au nchi gani yenye mafanikio zaidi ambapo baada ya kugundua hali hiyo huingia kwa kutumia mabavu na kupora utajiri kwa vigezo vya kubuni.
"Marekani wanakuja na kigezo cha ugaidi ,kumbe wanachokiangalia ni manufaa yao, hivyo Wachina watakuwa ni maadui wakubwa wa Marekani baadaye, kwa sababu ya uchumi wa nchi hiyo," alisema mmoja wa wachambuzi wa Uchumi wa China.

Wachambuzi hao walihoji pia kwamba kwa nini Marekani haikumkamata Osama akiwa hai badala yake waliamua kumuua ambapo walisema hilo lilifanyika kwa kisingizio cha vita dhidi ya ugaidi nje ya mipaka ya Marekani. Hata hivyo habari zinasema kuwa kabla ya kifo Bin Laden, tayari China ,ilionyesha hofu kwamba mikakati ya Marekani ni kuelekeza hisia zao kutoka vita dhidi ya ugaidi kwenda kwa nchi zenye ongezeko kubwa la uchumi.

Mchambuzi Lin Limin, alisema kuwa Marekani imekuwa na nia ya kuchukua jukumu la kuongoza katika vita nchini Libya kwa sababu inajua kuna manufaa ya vita hivyo.

"Hatimaye wakaanza kuwa na wasiwasi kwa nchi nyingi kujitokeza, kama msimamo wa Marekani juu ya Libya siyo tu mkakati wao, ni lazima si kupoteza nguvu za kijeshi na nishati 'kueneza demokrasia'?," alihoji Lin na kuongeza: "Lakini lazima wataanza kuelekeza mawazo yao juu ya nchi zilizojitokeza kwa kupanda kiuchumi, basi sisi ndio maana tunakuwa na wasiwasi. "

China ilijiunga na vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa baada ya Osama kuanzisha na kudhamini ugaidi uliotoa tishio la moja kwa moja katika eneo lake lenye waislamu kaskazini-magharibi ya Xinjiang, alinukuliwa Jiang Yu shirika la habari Xinhua baada ya kifo cha Bin Laden.

Nchi hiyo ilisema kuwa ugaidi ni adui wa kawaida kwa jamii ya kimataifa, ambapo nayo imekuwa ni mwathirika. Alisema Beijing ilikuwa na uhusiano wa vita vya kimataifa dhidi ya ugaidi na mapambano yake ya kukomesha hisia katika mkoa wa Kiislamu, wapiganaji kusisitiza wapate msaada kutoka nje.

Actualy hao ni business partner wa muda mrefu. Hizo economic war ni sehem ndogo sana ,mostly bado wanafanya biashara
 
Back
Top Bottom