China kazi anayo dhidi ya Mmarekani, Biden aweka vikwazo maradufu

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,431
13,268
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.

Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.

Screenshot_20240514-215606.jpg

I just imposed a series of tariffs on goods made in China:

25% on steel and aluminum,
50% on semiconductors,
100% on EVs,
And 50% on solar panels.

China is determined to dominate these industries.

I'm determined to ensure America leads the world in them.

Trump naye amesema akipita atapiga ban kabisa EVs za China zinazo tengenezewa China na Mexico zisikanyange U.S

Ila China akitoboa hapa litakuwa pigo kubwa kwa U.S
 
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.

Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.

View attachment 2990276

Market size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.
 
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.

Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.

View attachment 2990276
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:

25% on steel and aluminum,
50% on semiconductors,
100% on EVs,
And 50% on solar panels.

China is determined to dominate these industries.

I'm determined to ensure America leads the world in them.

Trump naye amesema akipita atapiga ban kabisa EVs za China zinazo tengenezewa China na Mexico zisikanyange U.S

Ila China akitoboa hapa litakuwa pigo kubwa kwa U.S
Hii inaitwa Protectionism
 
Mkuu usiogope kwenye uchumi ukimpiga mtu ngumi ya jicho yeye atakupiga ya sikio."ukiuliza umeonaje naye anakuambia umesikije".

China anao uwezo wa kulipiza kwa kuwekea kodi kwa ukubwa huo huo baadhi ya bdhaa zitokazo marekani.

Kikubwa ni kwamba mareķani kazidiwa kwenye balance of trade na payment hivyo analazimisha kupunuza imports.

Hizi pia kuna njia mbili ya kukabiliana nazo punguza bei ili kupunguza makali ya kodi zilizowekwa. Pili serikali inatoa subsidy kwa expot companies
 
Ulaya hususan UK wanatumia sana hivyo vitu hususan EV cars from China.
Anajichosha bure, Ulaya tayari vishaingia na kusambaa.
 
Pale bingwa wa ubepari anapoomba pooh kupitia vikwazo.

Miaka yote niliamini USA ni champion wa free markert economy na ni leader wa Free world kwa sasa naanza kupata mashaka.

Ni kama vile USA inakuwa Socialist/neo-communist na China ni purely capitalist.
 
Ulaya hususan UK wanatumia sana hivyo vitu hususan EV cars from China.
Anajichosha bure,Ulaya tayari vishaingia na kusambaa.
Ulaya nao ni kama wana mlia timing tu mchina sio punde atapigwa furushi as long as U.S kaanza kuvuta nyuzi tegemea na E.U kuvuta nyuzi licha ya kwamba BYD wapo katika hatua za kufungua kiwanda huko huko Europe.
 
Kumbe free market iliyokuwa championed na US zilikuwa sanaa tu kwa kuwa yeye ndo alikuwa mzalishaji mkubwa ili a control soko la bidhaa na huduma kwa maslahi yake! Leo macho madogo kapindua meza US anapigania protectionism😀😀. Kwa kweli kama kuna mtu bado anawaamini wamarekani na sera zao basi anastahili kupimwa akili. Mzungu kawa exposed time hii
 
Mkuu usiogope kwenye uchumi ukimpiga mtu ngumi ya jicho yeye atakupiga ya sikio."ukiuliza umeonaje naye anakuambia umesikije".

China anao uwezo wa kulipiza kwa kuwekea kodi kwa ukubwa huo huo baadhi ya bdhaa zitokazo marekani.

Kikubwa ni kwamba mareķani kazidiwa kwenye balance of trade na payment hivyo analazimisha kupunuza imports.

Hizi pia kuna njia mbili ya kukabiliana nazo punguza bei ili kupunguza makali ya kodi zilizowekwa. Pili serikali inatoa subsidy kwa expot companies
Serikali ya marekani nayo inatoa subsidies yakutosha kwa makampuni yake
 
Back
Top Bottom