China inazalisha mafuta tani 22m

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,266
33,039

NCHI ya China inazalisha mafuta zaidi ya tani milioni 22, huku ikisemekana kuwa itaendelea kuweka rekodi ya uzalishaji wa nishati hiyo siku za hivi karibuni.


Mafuta yaliyopatikana Agusti mwaka jana nchini humo yaliuzwa kwa kwa dola za marekani 75.96 kwa pipa karibia GMT 0445, baada ya kupakia mafuta hayo wiki iliyopita ilipata zaidi ya asilimia 5.
Inasemekana kuwa ndani ya wiki katika mwezi Juni mwaka huu mafuta yaliuzwa zaidi ya Dola za marekani 76.48.

Afisa mauzo wa nchi hiyo Ken Hasegawa, alisema Miongoni mwa habari kubwa zina mapungufu kwa ujumla,hivyo anapaswa kuona ukuaji wa data nchini China.

Alisema Ongezeko la mafuta Marekani lipo chini kwa miezi 19 na bei imepanda hadi Dolla za Marekani 87 zilizofikiwa mwanzoni mwa mwezi mei, waliweza kushuka haraka hadi kuwa chini ya Dolla za Marekani 65 kufikia mei 20.

Alisema London waliuza mafuta kwa kiwango cha chini cha senti 17 ambacho ni sawa na Dolla za Marekani 75.25 kwa pipa.
Hivyo tathmini ya masoko huko Asia imekuwa juu, baada ya wiki ya mauzo kwa mwaka Marekani ilikuwa sawa.uendeshaji wa mafuta mapema wiki hii umekaribia robo tatu, ambayo imepiga hatua jumatatu na kuleta matokeo ya madini ya Aluminum yanayo tengeneza Alcoa.
Naye rais wa kikundi cha Stephen Schork aliwaambia waandishi wa habari kuwa Mwezi juni Marekani iliuza mafuta kwa rejareja ilikuwa kama egemeo la kipimo cha kutengeneza uchumi wa nchi.

“Kama tutaangalia kwa makini tulichopata katika mauzo ya wiki hii, tunahitaji kuangalia uuzaji wa mafuta kwa rejareja kwa nguvu na hushukaji wa Dolla hautatuumiza,” alisema.
Reuters


China inazalisha mafuta tani 22m

Kumbe Wachina nao wanayo Mafuta? Je Sisi Wabongo tutachimba lini Mafuta Ya Muungano?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom