chamng'asi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 215
- 397
Mchina ni Mandonga aliyechangamka... Kanikwaza sanaDo not fire... stand down i repeat do not fire...
Thats direct order do not fire stand down..

HahahaNawatafakarisha. Vipi kama ile ndege haikuwa imembeba Pelosi kama ilivyotangazwa. Then China wakaishusha kama walivyokuwa wamepania. Then ghafla paaap Pelosi anaibukia Singapore na kurudi zake Washington?
Unaambiwa sasa huko Taiwan hakuna ndege wala yai kuondoka. China keshaamua sasa tangu jana usiku, liwalo na liwe. Maana kila wakati Xi alipokuwa anasoma ujumbe humu JF alikuwa anatokwa machozi balaa.
Ngojeeni kipigo cha Mmarekani!
Nawatafakarisha. Vipi kama ile ndege haikuwa imembeba Pelosi kama ilivyotangazwa. Then China wakaishusha kama walivyokuwa wamepania. Then ghafla paaap Pelosi anaibukia Singapore na kurudi zake Washington?

wee unachekesha sasa lol.Kuna mgombea urais moja kule Kenya anafagilia sana bangi eti akiwa rais ataihalalisha ilimwe nafikiri utakuwa wa kwanza kuhamia Kenya.Nawatafakarisha. Vipi kama ile ndege haikuwa imembeba Pelosi kama ilivyotangazwa. Then China wakaishusha kama walivyokuwa wamepania. Then ghafla paaap Pelosi anaibukia Singapore na kurudi zake Washington?