China ana safari kubwa sana mpaka kuipita Marekani kiuchumi

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
416
1,473
Uchumi wa USA in GDP ni 27 trillion USA na China ni 18 trillion

Raia wa USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ni 333 million na China ni 1.4 billion

China ana safari ndefu Sana kumpita USA na inaweza kufika miaka 100. Ameachwa gape kubwa Sana. Mimi natabiri labda EU lakini kwa China bado
 
Porojo tu hizo hapo huo uchumi labda sprint dollar

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ukilinganisha gharama za vita kati ya Ukraine dhidi ya Russia unaweza kuona hakuna uchumi haueleweki.
 

Hii screenshot ikusaidie kukueleza kuwa uchumi wa china umekua kwa kasi ya 10G kuanzia 2000
 
Gdp is not a good indicator of well being..
Sometimes gdp inaweza kuwa kubwa sababu ya inflation.
 
Kwanza umeongea kishabiki sana lakin baada ungeleta ushabiki Tanzania na USA ukaachana na China ambaye yupo mbali kiuchumi....angalia Tanzania ili upate uchungu kwasabab hata wewe ukipata uchungu enough unaweza kuanza kufanya mabadiliko kwa kufanya shughuli zenye kuweza kuongeza Hiyo GDP...japo kwa kiasi kidogo lakin kinaweza kuwa na impact
 
US akiacha kuiba mafuta pale middle east na dhahabu yetu waafrika...watakuwa kama zimbabwe tu
 
Umeandika ujinga
 
USA anahitaji one major war na adversary kama Iran akiwa pamoja na axis zake za resistance pale middle east mchina anachukua nafasi.
 
Tutulie.
 
Hiyo population ya China ukilinganisha na Marekani, Marekani si kapitwa au nimejichanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ