Chin yan yun!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
Jamaa kaenda kumcheki mgonjwa wa kichina hospitali.Alipofika pembeni ya kitanda cha mgonjwa,kabla hata hajaongea neno,yule mchina akasema,'CHIN YAN YUN',halafu akafa baada ya dakika 5. Jamaa alipotoka nje ya hospitali akamwuliza mchina mmoja,nini maana ya CHIN YAN YUN?.Yule mchina akamjibu kwamba maana ya CHIN YAN YUN ni UMEKANYAGA OXYGEN TUBE!
 

Teh teh teheeeeeeeeeeeee, aiseee gari yako si mchezo
 
Nimeisikia leo Deo ruyunga wa radio one kaitupia hii kwenye nyepesi nyepesi.
 
chin xa sui aung dash yan!!!!
maana yake nimecheka mpaka nikazimia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…