Chin yan yun!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Jamaa kaenda kumcheki mgonjwa wa kichina hospitali.Alipofika pembeni ya kitanda cha mgonjwa,kabla hata hajaongea neno,yule mchina akasema,'CHIN YAN YUN',halafu akafa baada ya dakika 5. Jamaa alipotoka nje ya hospitali akamwuliza mchina mmoja,nini maana ya CHIN YAN YUN?.Yule mchina akamjibu kwamba maana ya CHIN YAN YUN ni UMEKANYAGA OXYGEN TUBE!
 
Teh teh teheeeeeeeeeeeee, aiseee gari yako si mchezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom