Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,620
- 18,444
Mi nachafuaje Uislamu sasa.Usilolijua sawa na ucku wa giza
hlf m nashangaa sanaa M sijawahi kuona misikitini kuna mapepo lkn kila siku makanisani ety wanakemea mapepo sasa ebu jiulize hua mnayatoa wapi hyo mashetani yenu usipende kufuata mkumbo tuu
Kuchafuliwa Uislamu lzma waislamu waseme mna ata ww apo ukisingiziwa uongo tuu utalaani mpk basi ili uombwe radhi sasa kma dini yko inachafuliwa ndo ukae kimya we vipi ww jitafakari vzr kijana wa KIKAFIRI
hlf KAFIRI sio tusi wala nn yni asiekua muislamu yyte yule ni KAFIRI kwaio msinune tukikuiteni ivo
Majini ni viumbe kama viumbe wengine kma unavoona kuna binadamu waharibifu na wazuri basi na Majini yapo ivo ivoMi nachafuaje Uislamu sasa.
Au unataka kumkanusha Mtume na Allah kuwa Majini sio waislamu wenzenu tena ?
Kama huyaoni sio tatizo kwakuwa hayaonekani na macho ya watu wengine.
Ila wenzako wanayaona waulize.
Kusema Uislamu ni dini ya Majini sio kashfa hiyo.
Sura ya Majini ipo ndani ya Qurani kuthibitisha.
Au kama hujui basi leo ujue hivyo kwamba Jini Subiani na wenzake wanatubu msikitini.
Mwulize Shehe au Imamu wako atakueleza kiundani.
Kinachotakiwa wewe nenda kaulize utaambiwa hivyo hivyo hata ukitaka kuonyeshwa watakuonyesha.
Sina shida ya kuchafua dini ya watu. Ila nasema ukweli na kweli tupu.
Msikiti ndio Nyumba ya Ibada ya Waislamu binadamu na Waislamu wa Kijini.
Tena Mtume anasema ni Ndugu zenu kabisa.
Wewe ni nani hadi ukanushe,
La wewe utakuwa KAFIRI tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamata kwanza hizi,Hivyo vitabu vya historia nitajie nitavitafta
By vulcanic Yahwew alikua akifahamika kama stormy god, associated with fire, matetemeko, milima,,
Majina ya vitabu mkuu vya historia.By vulcanic Yahwew alikua akifahamika kama stormy god, associated with fire, matetemeko, milima,,
Ndo maana utaona, habari za moses kukutana na kichaka kinawaka moto, moses kupanda mlimani kwenda kuonana na yahwew au habari za matetemeko, mafuriko ya noah au maangamizi kwa moto ya sodom na gomorrow,
Au utaona yesu akisnda kuworship mlimani,, au utaona watu wakijenga ghorofa kutaka kumfikia mungu yuko juu,
Kisha utaona habari ya mungu yu juu, as in mlimani na baadae mbinguni,, etc..
Baba mkwe wa moses, mzee jethro ndo alikua kuhani wa yahwew, na karibu na midian, palikua na mlima wa huyo mungu yahwew na ndo huko Jethro alienda kuwabatiza katika iman, wazee wa kiisrael na pia Aron,, (kutoka 18:1-20)
Asante sana kwa kuthibitisha hoja yangu.Majini ni viumbe kama viumbe wengine kma unavoona kuna binadamu waharibifu na wazuri basi na Majini yapo ivo ivo
wapi mm nilikataa kua Majini kua sio waislamu? wapo waislamu na wapo makafiri kama wewe
kwaio we ulikua untka kusemaje?Asante sana kwa kuthibitisha hoja yangu.
Nadhani sasa hivi tunaenda pamoja.
Hii imetosha
We jamaa wa ajabu sana, yaani karne hii unataka nikutajie vitabu. Nimekupa keyword kibao za kukusaidia kuanzisha research mwenyewe , wewe unataka vitabu, nimekupa machapisho ya wasomi kabisa hadi wa Cambridge, nikakuscreenshot hadi magazeti yanayoeleweka yakichambua articles kuhusu hili suala,, bado huelewi tu?..Majina ya vitabu mkuu vya historia.
Kitabu cha kwanzaMajina ya vitabu mkuu vya historia.
Napenda kuwapongeza tu kwa kushiriki dini moja na Majini, na sina cha kuongeza.kwaio we ulikua untka kusemaje?
Sikushangai kwakua ushalishwa imani potofu toka udogoni mwako na mtoto akiambiwa kitu na wazee wake hukishika hrka sana ata kma cha uongo.Napenda kuwapongeza tu kwa kushiriki dini moja na Majini, na sina cha kuongeza.
Mi binafsi imani yangu inaeleza kuto kuwa na shirika na Majini kwa swala lolote lile.
Yaani hakuna Jini lenye tabia njema. Na ni ma adui wa binadamu kwakuwa ni jamii ya Ibirisi, pepo wachafu walio laaniwa na Mwenyezi Mungu.
Na huwa wanatumika na binadamu katika mambo ya ushirikina.
Zamani Wazee wangu walinikataza kabisa hata kushika Qurani.
Wakiniasa kuwa ni kitabu cha Majini.
Leo nakushukuru kwa kunithibitishia hilo.
Sina cha kuongeza hapo.
We ndo wa ajabu nimeomba title ya vitabu ulivodai umesoma unanifungulia blogsWe jamaa wa ajabu sana, yaani karne hii unataka nikutajie vitabu. Nimekupa keyword kibao za kukusaidia kuanzisha research mwenyewe , wewe unataka vitabu, nimekupa machapisho ya wasomi kabisa hadi wa Cambridge, nikakuscreenshot hadi magazeti yanayoeleweka yakichambua articles kuhusu hili suala,, bado huelewi tu?..
Kwani uko kidato cha ngapi? [emoji16]
Anyway ntakuletea list ya vitabu milioni moja usome
Umesema umesoma vitabu vingi lakini nakuomba majina yake unascreenshot gazet uko sawa kweli!?We jamaa wa ajabu sana, yaani karne hii unataka nikutajie vitabu. Nimekupa keyword kibao za kukusaidia kuanzisha research mwenyewe , wewe unataka vitabu, nimekupa machapisho ya wasomi kabisa hadi wa Cambridge, nikakuscreenshot hadi magazeti yanayoeleweka yakichambua articles kuhusu hili suala,, bado huelewi tu?..
Kwani uko kidato cha ngapi? [emoji16]
Anyway ntakuletea list ya vitabu milioni moja usome
Kwani ni uongo upi niliousema.Sikushangai kwakua ushalishwa imani potofu toka udogoni mwako na mtoto akiambiwa kitu na wazee wake hukishika hrka sana ata kma cha uongo.
katika Uislamu hatuishi katwambia mzee, tunaishi kwa kufuata sheria na misingi ya kiislamu sisi haturithi mambo bali tunasoma na kufuata lililokua la kweli na kuacha lililokua la Uongo.
[emoji706][emoji706][emoji706]Kwani ni uongo upi niliousema.
Kila nilichosema umekubali sawa sawa tu na kauli ya Wazee wangu.
Uislamu ni dini ya Majini
Ni kweli.
Qurani ni kitabu cha Majini
Ni kweli.
Uongo wangu uko wapi hapo ?
Binafsi nimejifunza mambo mengi sana ya manufaa toka katika maoni ya wajinga.[emoji706][emoji706][emoji706]
Nikishamuona mtu huyu kua ni mjinga na hataki kutoka kwenye ujinga alonao hua namuacha tuu aendelee na ujinga wake
Nakuuliza tena kwa sababu umetoa majibu mawili yanayopingana.Hili unataka nikujibu mara ngapi ? Soma post namba 998.
Naona kama hauko kimjadala bali ni kupoteza muda.
Hakuna popote nilipo sema maneno haya kwamba ni triki tu si uchawi. Soma vizuri nilichokiandika.Kwamba karata tatu ni uchawi, halafu ukasema ni triki tu si uchawi.
Mimi najua ninesimamia wapi ndiyo maana maneno yangu hayajigongi.Inaonekana hata wewe mwenyewe hujui umesimamia wapi, unajipinga mwenyewe.
Huu uongo mwingine inaonekana husomi ninachokiandika na ukakielewa.Sasa mimi nawezaje kujadiliana na mtu ambaye hata yeye mwenyewe hajui kasimamia wapi?
Wewe ni mvivu wa tabia na mzembe mwenye ajizi, unaandika "Soma vizuri nilichokiandika" bila kusema ulichokiandika wapi, post namba ngapi, nukuu gani.Hakuna popote nilipo sema maneno haya kwamba ni triki tu si uchawi. Soma vizuri nilichokiandika.
Mimi najua ninesimamia wapi ndiyo maana maneno yangu hayajigongi.
Hapa hata nikikwambia onyesha kwa kunukuu nilichokiandika wapi yamepingana maneno yangu hutaweza.
Huu uongo mwingine inaonekana husomi ninachokiandika na ukakielewa.
Kwahiyo unanukuu fyongokwa lengo la kunipotezea muda,hii ndiyo maana yake,kama ungekuwa unajijua kwa namna gani una uwezo mdogo wa kunukuu maneno hata kwa maana,basi hili kwako ni aula zaidi uwe unanukuu namba ya post,ili uepukane na makosa ya kiufahamu kama unayoyafanya humu.Wewe ni mvivu wa tabia na mzembe mwenye ajizi, unaandika "Soma vizuri nilichokiandika" bila kusema ulichokiandika wapi, post namba ngapi, nukuu gani.
Ni kama ngumbaru aliyepewa internet iliyopangiliwa kwa hyperlinks, numbered posts, quotes, halafu anaandika kijumlajumla tu bila kutumia nyenzo za kujadiliana kwa tija.
Ndiyo maana naona sio tu hatuelewani, bali pia hatuwezi kuelewana.
You are an innumerate with little to no comprehension skills.