Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Naam umeandika viz juu ya chimbuko la Uislam,Lakin kuna kitu umesahau kama Muhammad alianzisha dini hii kwa akili yake pasipo msaada wa kimbingu basi nakuhakikishia sio tu miaka 1444 bali dini hii isingeweza kutoboa hata miaka 10.Kwann nasema hivi Si katika tabia au mwenendo wa M/Mungu kumuacha mzushi na muongo ajipambanue na ndio maana uislam unakula sahani moja bali umezizidi kete Uyahudi na Ukristo kwa sababu dini hz tatu chimbuko lake ni moja
 
Umezidi kete kivipi?
Unaweza kufafanua.
 
Allah alikuwa anajaribu sheria zake kama zitafanya kazi zikishindwa anazifuta?
 
M nikuulize swali dogo tuu
kwanini bible ina agano jipya na la kale?
Ndio sababu gnostic wali-declare Mungu wa agano jipya na la kale ni wawili tofauti, pindi u-catholic unaanza.
Mungu wa agano jipya ni superior na wa agano lake ni aliyepewa order ya kuumba tu kwa maelezo yao.
Kutokuwa mkristo sio kuwa muislam,
Na usitumie ukristo ku-justify uislam.
 
kwaio nyie mnajianzishia tu madhehebu mkitaka
mna walutheri wanamfuata martin luther king au nimekosea apo
Nyie semeni tuu sheria za Agano la kale mumeona zinawanyima kufnya matamanio yenu mkabadilisha
 
kwaio nyie mnajianzishia tu madhehebu mkitaka
mna walutheri wanamfuata martin luther king au nimekosea apo
Nyie semeni tuu sheria za Agano la kale mumeona zinawanyima kufnya matamanio yenu mkabadilisha
Allah alikuwa anajaribu sheria zake kama zitafanya kazi zikishindwa anazifuta?
Usikwepe swali hilo
 
Allah alikuwa anajaribu sheria zake kama zitafanya kazi zikishindwa anazifuta?
Usikwepe swali hilo
We kma hujui Uislamu sema uelimishwe msipende kulishwa uongo makanisani kwenu

Soma iyo jpo najua utajifanya kichwa ngumu
 
Hiyo bora ilikuwa wapi kipindi analeta isiyo bora wakati huo huo anasema ni muweza wa yote?
Huoni kama Allah ni muongo
Mm hua sibishani na wajinga kwaio kma hutaki uo ujinga wako ukutoke m sikulazimishi
 
Hiyo bora ilikuwa wapi kipindi analeta isiyo bora wakati huo huo anasema ni muweza wa yote?
Huoni kama Allah ni muongo.
Saivi mbona haleti tena zilizo bora? Au saivi zote ni bora
Nimekuuliza kiji swali tu umeshindwa kujibu
 
Mkuu ukiambiwa uonyeshe hapo Qur an iliposema ukiona mambo huyaelewi uulize vitabu vilivyokuwepo kabla yake I.e injili zaburi na taurat utapaonyesha?
 
Huo ni uongo kama wa kwenye quran.
Two wrongs does not make one right.
Lakini kitabu cha biblia hamkitambui unakitumiaje kama refernce point yako kukifanisha na kitabu chenu
Si ni cha makafiri au?
Ata ww ni kafiri kma humuamini Allah ww ni KAFIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…