Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Ni swali gani lipo hapa
 
Nijibu kwa imani yangu kuhusu "amri kumi za mungu" huu ni wendawazimu sasa,hili hatuna sisi Waislamu.
Wewe umejuaje kwamba ana amini amri kumi , na hiyo idea ya amri 10 umeitoa wapi mpaka ujengee hoja yako
 
Wapi kwenye Koran Musa muislamu alipewa sheria na hizo sheria amri kumi na wapi zimetajw
Anasema Allah mtukufu :

44. Hakika Sisi tuliteremsha Taurati yenye uwongofu na nuru, ambayo kwayo Manabii walio nyenyekea kiislamu, na wachamngu, na wanazuoni, waliwahukumu Mayahudi; kwani walikabidhiwa kukihifadhi Kitabu cha Mwenyezi Mungu. Nao wakawa ni mashahidi juu yake. Basi msiwaogope watu, bali niogopeni Mimi. Wala msibadilishe Aya zangu kwa thamani chache. Na wasio hukumu kwa aliyo teremsha Mwenyezi Mungu, basi hao ndio makafiri. (al-Maaidah : 44)

Sasa utaniambia watu huwa wanahukiana kwa nini ? Sheria au stori za vijiweni...?
 
Naunga mkono hoja dini ni desturi za watu sio kuwa eti Mungu ameziumba na hamna hilo kitu cha existence ya Mungu.. Mungu ni njia ya watawala kucontrol watu na watu kutotaka kuchukua responsibilities zao wanapovurugq
 
Uislam ni dini ya mungu.
MTU wa juzi Tu hawezi kuutafsiri uislam ambao ulikuwepo tangu enzi za adam na hawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uislamu unasema mpaka leo uwe utumwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio Mungu mwema huyo
 
Naunga mkono hoja dini ni desturi za watu sio kuwa eti Mungu ameziumba na hamna hilo kitu cha existence ya Mungu.. Mungu ni njia ya watawala kucontrol watu na watu kutotaka kuchukua responsibilities zao wanapovurugq
Kama hujakisoma hiki kitabu "Philosophy of Religion: An Anthology", kisome. Hususan sura inayozungumzia "The Problem of Evil".

Tatizo, wengi wa tunaojadiliana nao hapa hawana uwezo wa kusoma hii lugha.
 

Attachments

Naunga mkono hoja dini ni desturi za watu sio kuwa eti Mungu ameziumba na hamna hilo kitu cha existence ya Mungu.. Mungu ni njia ya watawala kucontrol watu na watu kutotaka kuchukua responsibilities zao wanapovurugq
Unaweza kuthibitisha kuwa habari za uwepo wa Mungu ni uongo ?
 
Amri kumi ziko wapi hapa, acha ujinga kijana next time usiandike kitu huna ushaidi nacho yani unataka ujibu kitu kwa kutumia imani za wengine
Usiwe unatajataja vitu kama Allah alafu hana uhakika , mfano hapo Allah kasame alimpa Musa wake torati ,ukimuuliza ipo wapi yeye Allah anakwambia sijui ilipo
 
Ww mbona huwa unatumia Qur'an kujibu maswali yanayohusu dini yako ?
Koran huwa naitumia kama kituko flani, muhandishi wake alikuwa mjinga Sana , yani Kuna mda alikuwa anasahau kuhama kutoka 1st person kwenda kwenye 3rd person , kuna mda muhandishi ndio anakuwa Allah yani anatumia maneno ya utata kama may au labda, yani Allah anasema may god blessed you anajisahau yeye ndo anatakiwa kuwa god , yani is just a stupid book ambayo nimeweza ikariri yote kwa mda wa miezi mitatu tu
 
Wewe wa kupigwa makofi,nani amekwambia kwenye Qur'aan kuna amri kumi ? Ndiyo maana nilikwambia unakurupuka na kuandika upuuzi.

Umetaka ushahidi na nimekuuliza swali hukumu ni sheria si sheria ? Umekimbia. Unapojadiliana na mimi,unatakiwa uwe unakijua unachokijadili.

Pili,Allah hakuna asichokijua,huu uongo mwingine. Allah hakuna kitabu kingine nje ya Qur'aan ambacho aliahidi kukilinda,ndiyo maana leo hii hakuna mwenye Torati,Injili wala Zaburi kama zilivyo shuka. Kwahiyo naona unaendelea kuzua uongo kama ilivyo ada yako.

Nyie mnao dai Injili,au Torati au Zaburi mpaka mnakufa hakuna mwenye nayo wala atakaye kuwa nayo.
 
Huoni tutakuwa kama maroboti?
 
Unazidi kuthibisha Allah hajui anacho ongea
Vitabu vyake kavitaja alafu hana ushaidi kama viliwahi kuwepo hata historically hana ushahidi
Usirudie tena kutaja vitu na kujenga hoja na kutete Imani Yako kwa kutaja amri kumi , tumethibitisha Allah hajui amri 10 ni nini


Sisi tunavitabu vyetu ambavyo havimuhusu Allah , usichanganye kijana
 
Hii inadhihirisha kuwa wewe ni mjinga

Yaani utumie kitabu ambao unadai ni cha kijinga kutetea dini yako ? Upo Sawa kweli wewe ?
 
Niambie waandishi wa vitabu vyenu na uweke na ushahidi wa uandishi wao.

Najadili elimu unaleta utoto. Naomba matini ya neno kwa neno ya mafundisho ya Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…