Chimbuko la kabila la Wakurya

Washari sana hawa watu! wana mkono mwepesi wa kupiga: yaani hata kutongoza kwao mmmmh! kuna mmoja eti aliniambia jana nimeota tuko wote tuna...., sasa naomba basi hii ndoto yangu iwe kweli!!!!
Hahahaaa kwa hiyo hapo ndio akawa ameshatongoza? Sisi huwa hatuna maneno mengi mengi ndio maana.
 
hahaaha Tatigha, kama ulikuwepo na akawa anataka muda huo huo twende tuka "duu" hata sijamjibu kuwa nimempenda au laa!!!!! alitaka shoo ya kibabe tehe tehe tehe
 
Hahahaaa sisi kuongea ni sifuri kabisa,uongo uongo hatuwezi ila ukikubali kumpa mchezo kakumaliza, maana kama ulikua humpendi utaanza kumganda sasa
 
Washari sana hawa watu! wana mkono mwepesi wa kupiga: yaani hata kutongoza kwao mmmmh! kuna mmoja eti aliniambia jana nimeota tuko wote tuna...., sasa naomba basi hii ndoto yangu iwe kweli!!!!
Wewe ni Muongo. Mkurya Sio Kama Mnavyodhani. Mkurya Huwa Hachokozi Mtu na Ni Mtu Mkarimu Sana. Mkurya Hataki Dhuluma, Kuonewa etc - Hucharuka Pindi Anapotetea Haki Yake Ila Kamwe Sio Mchokozi Kama Unavyodai. Mimi ni Mchaga, Nina Marafiki Wakurya na Sijawai Kuona Wako Hivyo Unavyosema
 
sawa, naona umetumia nguvu kubwa kuchangia comment yangu
 
Sawa maana nilivyoona mbe! Nikashtuka kidogo
Naishi Mwanza, huwa ninawaona sana, japo wengi wanaishi Bugarika, Bugandonkali na kwingineko,hahahahahahaah kwa hiyo huwa nawasikia na hicho kihisishi cha "mbe!"
Pia wengi ndio wauza nyama kwenye mabucha
 
Washari sana hawa watu! wana mkono mwepesi wa kupiga: yaani hata kutongoza kwao mmmmh! kuna mmoja eti aliniambia jana nimeota tuko wote tuna...., sasa naomba basi hii ndoto yangu iwe kweli!!!!

Nimecheka Sana.
Tatizo la wakurya hawapendi maneno mengi, yaani "just to hit the point" Ila akikupenda hana tatizo kabisa, hasa ukiwa siyo kabila lake.

Jamani, mtu asitoke povu la omo nimetoa maoni yangu na kutokana na nilichowahi kukiona!
 
Ni kweli uyasemayo hatupendi blah blah nyingi
 
Back
Top Bottom