Chimbuko la kabila la Wairaq

Karatu na Mbulu wapi pameendelea?? hiyo ya umalaya ni kweli au story tu?
Karatu pameendelea na panazidi kuendelea Kwa sababu ya access yake na Mbuga, hivyo panaenda kuwa mji Wa Kitalii.

Umalaya ni hulka ya MTU tu..
 
Watakua na mbio na pumzi sana, yaani wamekimbia kwa miguu kutoka Iraq hadi Bongo!

Halafu hizi story za kukimbia kimbia kila nchi inasimulia hivyo kwamba watu fulani walikimbilia pale
Halipo kabila moja Tanzania ambalo pale lilipo sasa hivi ndiyo lilipokuwepo karne na karne tangu mwanzo. Makabila yote yamekuwa yakihama hama in seach of pasture and food, pamoja na vita vilevile. Kwa mfano, inasemekana kuwa wasukuma walikuwa na uwezo wa kukimbia vita au hata rumour tu ya vita, hadi wakaenda kukwama Ziwa Victoria kisa tu wamesikia "rumours" kuwa kuna mmasai mmoja anakuja amebeba mkuki. Wao walikuwa wanaita kwa kisukuma "NG'WITULO" maana yake ambush. Na mmasai wa aina hiyo huwa wanamwita SHIGELA, hadi leo. Walikuwa wakisikia rumours tu kwamba kuna shigela hata mmoja tu yuko njianni anakuja, hali inakuwa mbaya muno, yaani hatari lakini salama
Hii stori ya wasukuma ukiwaeleza wakurya wanaweza hata kukupiga sime wakisema "huyu mtu anatueleza kashfa gani tena hapa mura"
 
Haina shaka kuwa makala hii imeandikwa na mtu msomi sana aliyewahi kufanya utafiti na aliyesomea mambo ya anthropology.
 
Hivi mabadiliko ya kibailojia kwenye cells za binadamu, kwa muda wa miaka takriban 2000, hayawezi kubadilisha DNA completely? Je, DNA huwa haina threshold time ambapo huwa inafikia ikaweza kubadilika compleletely na kuwa nyingine kabisa kutokana na watu wenye vinasaba tofauti tofauti kuchanganya vinasaba vyao katika muda mrefu kama huu nilioutaja hapa?
 
Wadada wa Kiiraq ni wazuri balaa, hasa hasa wale original ambao hawajachanganya damu.
Enzi hizo kabla sijaufahamu vyema Ufalme wa MUNGU, nilikuwa na girl friend wa Kiiraq. Tatizo lao ni moja tu, wengi wao ni maharage ya Mbeya, maji mara moja. Halafu kitandani hulala kama gogo. Mbaya zaidi wengi wao 99% wamekeketwa.
By the way, kwa muonekano wa nje ni wazuri sana tena sana.
 
Wanapatikana wapi wadada wa kabila hilo nataka nkaoe huko... Kwa wingi ili nisipate tabu. Manake unaweza jua ni yeye kumbe Mmakonde.
 
hamna mwarabu aliyeacha tende huko Babeli kwenda Hanang au Mbulu, huko ni kujifariji.
 
Kina dada wa kabila hili ni wazuri na ni watu wema saana.
 
Wana uhusiano wowote na wabarabaig ?
 
Yap! sawa kabisa. Historia ya kutoka Mashariki ya kati inaweza kuwa ya miaka elfu nyingi sana maana Waiwarqw historia inaonesha tulikuwepo Tanganyika kabla ya jamii nyingi za wabantu kuja Tangayika. Historia inaonesha Wairaqw waliingia Tanganyika kabla Jamii za Hamites (Wamasai na wadatooga). We are Southern Cushites wakati wale Wakushi waliopo Ethiopia, Eritrea, Jibuti na Somalia wakiwa Nothern Cushites. Hata katika vitabu vya biblia vya agano la kale kabisa inawatabua wakushi wakiwa Afrika kiasi cha Afrika yote kutambulika kama Kushi.
 
Wana uhusiano wowote na wabarabaig ?
Hapana. Wairaqw na Wabarbaig (wadatooga) ni jamii mbili tofauti. wairaqw ni Cushites wakati Wabaribaig ni Nile Hemites. Ila majirani wa enzi na enzi ndani ya ardhi ya Tanganyika kiasi kwamba wameoleana sana na kuchanganya DNA.
 
Watutsi siyo wakushi. Wairaqw ni wakushi na hawana uhusiano wowote wa DNA na Wayahudi ingawa hakuna anayewajia Wayahudi halisi. Ila Wairaqw siyo wayahudi, ni Wakushi.
 
hamna mwarabu aliyeacha tende huko Babeli kwenda Hanang au Mbulu, huko ni kujifariji.
Kuwa Iraq haimaanishi walikuwa Waarabu. Historia inaonesha Mashariki ya kati paliwahi kuishi wanegro yaani wafrika weusi tiiiii! Hivyo, mashariki ya kati kuwa na wakushi ni jambo la Kawaida maana hata Utawala wa zamani ya dola ya Kushi ulishawahi kutawala hadi mashariki ya kati na Yemen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…